city bookstore
JF-Expert Member
- Oct 27, 2022
- 375
- 987
Hapana boss ,No lengo.
NA labda uwe mgeni wa huduma za muhimbili, hiv ni vitu vyabkawaida kabisa. Watu wanakufa kwa ujinga wa ubinafsi wa madaktari pale mpala uwape chochote kitu
Na by the way this can just treated as allegations tu cz no proof for any conviction agaist them.
Are you the one??
Upo sahihi.... ila wataalam watakwambia kila mtu anakula madhabauni kwake