Hivi kikawaida sijui hapa tuchukue hatua gani dhidi ya huyu mchungaji...

Hapana boss ,

Upo sahihi.... ila wataalam watakwambia kila mtu anakula madhabauni kwake
 
jitahidini sana kuwaasa ndugu na jamaa zenu waachane na imani za miujiza.
Waafrika wengi hasa wanawake hawawezi kukuelewa.Hizi dini zimefanya watu wamekua wapuuzi kupindukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…