Hivi kile kigari kinachopiga kelele usiku wa manane ni cha nani?

Niwe mkweli Mwanza Ilemela na Nyegezi nimekiskia sana hata kipindi Fulani Bukoba nimekiskia sana. SERIOUS
 
Usiku wa Manae = Usiku wa Manani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee!! hata nami huwa nakisikia hapa kijiji cha kinyeto mkoa wa Singida,itabidi tufuatilie kujua ni kigari cha nani na huwa anamaanisha nini kutoa sauti ya gari muda huo wa usiku kila siku!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku ninakoishi sijakasikia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakati mwingine hobby za watu, mtu anafeel yuko kwenye rally na kwakuwa usiku pametulia mtu anahisi burudani murua kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…