Hivi kile kigari kinachopiga kelele usiku wa manane ni cha nani?

Hivi kile kigari kinachopiga kelele usiku wa manane ni cha nani?

Sisitivii ilirekodi kuanzia masaki mpaka njia panda ya kawe, sembuse hiyo kusikia sauti kuanzia ubungo hadi kibaha [emoji41]
 
Hayo unayajua wewe sisi tulionyeagwa hadi nyumba
Sisitivii ilirekodi kuanzia masaki mpaka njia panda ya kawe, sembuse hiyo kusikia sauti kuanzia ubungo hadi kibaha [emoji41]
 
Naona ni kama hichi cha huku
Sanaaa, yaani kinapita usiku kulele za kufa mtu, ma antilag (not sure km nimepatia) kibao. Ha haaa ni starehe yake lkn tatizo amefululiza kutupigia kelele
 
wengine tuna vigari vyetu tunalala navyo humu vitandani,vinaunguruma kama scania iliyokosa mafuta inataka kuzimika,muffler zinapiga filimbi tuu,hicho kigari chako tutakisikiaje!
 
Huku kwetu Koromije tunasikia milio ya ng'ombe usiku kucha,si mnajua ng'ombe nao wanapeana papuchi usiku mzito?

Ndio wanapiga Kelele kama kigari?? Hahaaaaaaa sina mbavu mkuu 😂😂😂
 
Back
Top Bottom