Hivi kile kigari kinachopiga kelele usiku wa manane ni cha nani?

Hivi starehe ya hizo (Subaru, alteeza) ni kukimbia sana au mingurumo? Mbona Gx 100 inakimbia pia lakini wamiliki wake hawana makeke sana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee jamaa mseng.e sana unaandika habari km unaelezea masela wako maskani,jf iko kila ba member kila kona ya dunia,wacha kuassume boya andika uelewek km rijali.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatimaye umeamia dsm mkuu....?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…