Hivi kile kigari kinachopiga kelele usiku wa manane ni cha nani?

wengine tuna vigari vyetu tunalala navyo humu vitandani,vinaunguruma kama scania iliyokosa mafuta inataka kuzimika,muffler zinapiga filimbi tuu,hicho kigari chako tutakisikiaje!
[emoji23][emoji23]
 
Kelele hapo stendi? Wewe wa hapohapo utakuwa na jibu.
Mbagala Rangitatu kipo cha Maji Poa.
 
Umeandika kama vile jf inatumika mtaani kwenu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakua ni MBAPE na KIMPEMBE wanachukua mazoezi ya kukimbia
 
Mkuu, kwa wanaoishi maeneo haya ya ubungo na sinza mida hiyo lazima waisikie, ni gari ya patrol usiombe wakikimbize huo usiku au wakukute maeneo ya maporini huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…