Waliouzwa UARABUNI walihasiwa...pia walitumika kama kifaa cha burudani kwa kuingiliwa kinyume cha maumbile na waarab......walahi walikuwa wanabashiwa...Leo tunaona 13% ya population ya Marekani ikiwa ni ya watu weusi wengi wao kwa asilimia maradufu ni kizazi cha watumwa waliochukuliwa kutoka west africa.
Hivi wale waliokuwa wanatekwa wakina abushiri walipelekwa wapi na mark yao leo iko wapi.
Au walichukuliwa kwa uchache na kusambazwa maeneo tofauti ya waarabu?
Au walifutwa kama vile walivyofutwa wa pale argentina?
Unataka ukawatafute?Leo tunaona 13% ya population ya Marekani ikiwa ni ya watu weusi wengi wao kwa asilimia maradufu ni kizazi cha watumwa waliochukuliwa kutoka west africa.
Hivi wale waliokuwa wanatekwa wakina abushiri walipelekwa wapi na mark yao leo iko wapi.
Au walichukuliwa kwa uchache na kusambazwa maeneo tofauti ya waarabu?
Au walifutwa kama vile walivyofutwa wa pale argentina?
Utajuaje hawa ni weusi waliokuja miaka ya karibuni, mfano miaka ya 1950s, mpaka sasa, au waliokuja tangu enzi za utumwa?Nafikiri waliwauza kwa wazungu wengi wao.
Na kidogo wakapelekwa uarabuni
Nimekaa nchi za kiarabu nyingi na nimewaona watu weusi na hata Viongozi wakubwa na hata kwenye majeshi wamo wengi tena wenye vyeo vikubwa sana mpaka marubani nimewaona
Nimefanya nao kazi
Ila nilikuja kushangaa nilipokutana na Mpalestina mweusi
Mkuu,Uarabuni wapo watu weusi wengi tu, na kuna jimbo moja kule Iran ni la watu weusi na wanafahamika kabisa uzao wao ulitokea East Africa. Ni sawa sio wengi kama US lakini wapo , kwa sababu waarabu walikua wakiifanya hio biashara ya utumwa kwa kuwauzia wazungu, hivyo walioenda uarabuni hawakua wengi kama walioenda America ya kaskazini na kusini.
Watu weusi wapo nchi zote za kiarabu ila sio sana kuoneshwa, mfano India kuna wale wahindi weusi wa south. Hawa sio sana kuwaona kama wale wahindi wa north, pia India kuna weusi kama sisi wa Tanzania. Hawa mpaka ufatilie mwenyewe ndio utajua ila wao kuwaonesha hawafanyi hivyo kabisa.Afadhali hata wamarekani tunawaona waafrika huko ila hawa waarabu sijui waliwapeleka wapi waafrika, maana hatuwaoni katika mataifa yao, tuone hata machotara tu
Watu weusi kupitia muziki, siasa na michezo mingine tunawaona.Nafikiri waliwauza kwa wazungu wengi wao.
Na kidogo wakapelekwa uarabuni
Nimekaa nchi za kiarabu nyingi na nimewaona watu weusi na hata Viongozi wakubwa na hata kwenye majeshi wamo wengi tena wenye vyeo vikubwa sana mpaka marubani nimewaona
Nimefanya nao kazi
Ila nilikuja kushangaa nilipokutana na Mpalestina mweusi
Mbona nchi za wazungu weusi wako huru sana? Tunawaona kwenye mpira, muziki na shughuli zingine.Watu weusi wapo nchi zote za kiarabu ila sio sana kuoneshwa, mfano India kuna wale wahindi weusi wa south. Hawa sio sana kuwaona kama wale wahindi wa north, pia India kuna weusi kama sisi wa Tanzania. Hawa mpaka ufatilie mwenyewe ndio utajua ila wao kuwaonesha hawafanyi hivyo kabisa.
Mexico,Peru,Guantamala,Venezuela au Caribbean wale wote wanatokea Afrika. Jamaica,Japan na Australia pia wapo hata Egypt na Yemen wapo weusi wengi sana tu lakini media huchagua watakacho wao.
Ni sawa na history ya Tanzania utaijua ile ya shule lakini ipo ya wenyeji ipo tofauti na ya shule.
Utawadanganya ambao wanatumia kiaarabu cha maarabu kumuomba mungu wa kiarabu.Waarabu walikuwa ni wauza bidhaa na wazungu walikuwa ninwanunua bidhaa kwa ajili ya Cheap labour
Ni kweli kila binadamu ana historia yake na wale wa asili ya utumwa wanajulikana piaUtajuaje hawa ni weusi waliokuja miaka ya karibuni, mfano miaka ya 1950s, mpaka sasa, au waliokuja tangu enzi za utumwa?
Katika ma Prince wa Saudi Arabia, kuna Prince Bandar. Mama yake ni Muethiopia, anaonekana mweusi yuko tofauti na ma Prince wengine.
Nilikuwa nafikiri labda huyu Prince Bandar ni sehemu ya masalia ya watumwa, kumbe huyu mama yake alikuwa mfanyakazi wa ndani jumba la Mfalme, katoka Ethiopia, Prince akaruka naye akazaa mtoto, ndiyo huyo Prince Bandar.
Hapa tunaongelea vitu ninavyojua wala sina mda wa ku google kwa sababu ni shuhuda na nimeishi kote Uarabuni na Ulaya na Africa piaWatu weusi kupitia muziki, siasa na michezo mingine tunawaona.
Ila mnawavyowapamba waarabu utafikiri hakuna Zanzibar revolution
Ulifanya kazi Uarabuni halafu unajiita Black Sniper kwanini usingetumia jina la kiaarabu? Hiyo ni ishara tosha waarabu siyo watu wema.
Mnagoogle picha halafu mnaweka. Ni bora nikaishi kwa wazungu kuliko kwa waarabu.
Al Amoud ni Muethiopia, mzaliwa Ethiopia, kasoma Ethiopia na Mhamara kwa asili.Kuna uzi ulianzishwa jana tu leo mwengine.
Kifupi mkuu sehemu pekee watu weusi waliofanikiwa ni Uarabuni, ndio sehemu pekee utakuta scientist wakubwa, Maprofessor na madokta vyuoni, maEngineer na watu wengine wenye heshima.
Afro Arabs sio masikini ama waganga njaa kama weusi wengine wanaopatikana mataifa mbalimbali Duniani.
Hii comment yangu nilipost jana nacopy na ku paste hapa.
1. Mtu mweusi Tajiri Duniani huwa wanapokezana Baina ya Dangote na Al Amoud Bilionea Wa Saudia, Hakuna Mweusi yoyote Ulaya ama Usa anaegusa kwa Al Amoud
View attachment 3195316
2. Kuna Viongozi Kibao wenye Asili ya Africa ama ambao wame changanya kama Marehemu Qabous wa Oman pamoja na Baba yake, Mfalme wa Zamani wa Kuwait etc hii picha ya Lineage ya Sabah Familia ya viongozi wa Kuwait
View attachment 3195329
View attachment 3195330
3. Ukiangalia makampuni makubwa Makubwa ya Saudia na Arabuni kwa Ujumla utawakuta hao Black Arabs wakiwa na positions kubwa kubwa kama MA CEO, MA Engineer wakubwa, Madaktari etc kifupi kazi zinazohitaji akili.
-Ahmad Hawsawi CEO wa Siemens Saudia
View attachment 3195331
-Abdulelah AlHawsawi
Founder wa Saudi Patient safety centre kama Colaborate centre ya Who (Zipo 5 tu dunia nzima) na ni member wa WHO kwenye same field, pia anakuwa hadi Chairman vikao vingi vya WHO
View attachment 3195336
-Ingia website yoyote inayolist research papers na wanasayansi eka ukoo wowote wa watu weusi Wa Saudia kama huo wa Hawsawi angalia Contribution zao
Hakuna popote Pale Duniani utapata Viongozi wazuri weusi tofauti na Nchi za kiarabu, hakuna popote Duniani utapata watu weusi wasomi tofauti na Nchi za kiarabu hakuna popote pale Duniani utapata watu weusi Wenye Hela tofauti NA nchi za kiarabu huo ni ukweli mchungu ambao wengi hawataki kukubali.
Dah, noma sana.Ni kweli kila binadamu ana historia yake na wale wa asili ya utumwa wanajulikana pia
Kwa kuwa nimekaa sana ME kwenye nchi hizo kuna moja kwa mfano Kuwait hii nchi ni ndogo sana na wakati huo kulikuwa na population ya watu million moja tu wakiwemo expatriates 250 000
Sasa kulikuwa na Crown prince Sheikh Saad Al Salim Al Sabah huyu alikuwa ni mweusi na baba mwarabu ila baba yake alioa kijakazi wao (mtumwa) na mwisho mwanae huyu Saad akaja kuwa mfalme au Amir kama wanavyoitwa Q8
Na niwajua weusi wengi ambao wanasema wao asili yao ni Africa na ni zao la utumwa
Kwa hiyo wapo wengi ila kesi kama hiyo ya Bandar zinatokea pia ila sio nyingi
Nimewaona mpaka stateless weusi
Hawa baada ya Kuwait na Saudia au iraq kupatikana mafuta hawa walikuwa wanaishi au wakiwa watumwa desert wakichunga ngamia na mbuzi
Waarabu walipopata mafuta wakaanza kubaguana na kusema nyie sio wa kabila hili au sio wa nchi hii
Wakiwemo weusi pia
Nilikuwa nataniana nao na kuwaambia mimi ni mwafrika OG sasa nyie mnahesabika kama nani? Wanasema sisi ndugu zako
Logic hapa ni Kwamba Usa kuna 13% watu weusi na Middle East hakuna, kitu ambacho sio sahihi, hata Usa hao 13% sio wote ni zao la Watumwa. Mfano Obama mzazi wake nae alitoka Kenya, lakini utaona anatumiwa humu kwenye mbadala.Al Amoud ni Muethiopia, mzaliwa Ethiopia, kasoma Ethiopia na Mhamara kwa asili.
Huyu mtu ni muafrika halisi ila kapata uraia wa Saudia by Tajinisi.
Sio zao la watumwa na Wala hakuna mtumwa katika vizazi vyake vya nyuma.
Huo uarabu mnaomfungamanisha kautolea wapi?
Mix mwarabu na mu-Ethiopia, ndio investor mkubwa zaidi Ethiopia.1. Al Amoud ni mwarabu.
Hukumu Za kifo for what? Una stats yoyote ku backup? Na weusi Wa nchi Za kiarabu si wafanyakazi wa ndani, tofautisha mtu anaetoka huku kufanya kazi za ndani Middle East na mtu mweusi aliezaliwa Middle East.Ila nchi za kiarabu ndo zinaongoza kwa kuwatesa watu weusi. Watu weusi wengi wanafanywa kama watumwa kwenye nyumba za kiarabu na pia nchi za kiarabu ndo zinaongoza kutoa hukumu ya vifo kwa watu weusi sasa si bora Marekani wanawafunga peke yake.
Aisee huu uongo wako, bado unaushikilia?Mix mwarabu na mu-Ethiopia, ndio investor mkubwa zaidi Ethiopia.
Boss Al Amoud ni Mixer myemen na Mu Ethiopia, unafikiri hao Forbes na wengineo wanaemuweka kwenye list ya Black billionaire ni wajinga? Simple ukicheki wikipedia biography yake unaiona na ana Uraia pacha nchi zote mbili Saudi na EthiopiaAisee huu uongo wako, bado unaushikilia?
Lete ushahidi kuwa kachanganya.
Asilimia 13 ni watu takribani milioni 39Hivi unajua asilimia 13 ni watu wangapi kati ya watu 300,000,000.
Again umeitaja watu sijui wanne ama watano, haiondoi fact kwamba population iliobakia hawana maisha mazuri, pia umekataa Al Amoud sio mu Africa then unaenda kutaja chotara kwenye hoja yako huoni ni double standard? Ama definition ya mtu mweusi kwako ni yule unaemtaka wewe tu?Marekani
Tumeshuhudia Raisi akiwa mweusi Barack Obama
Waziri wa mambo ya nje Condoleeza
Rice
Defence secretary General Austin
Greatest surgeon
Na wengineo.
Hao waarabu ni wabaguzi na wakatili kupita maelezo
Dah, familia kabisa!!Walienda kutupwa India huko.
Wapo vijijini huko wanaitwa SIDDI.
Ukiwaona huwezi kuwatofautisha na fatuma wa tandale labda aongee
View: https://youtu.be/OuqgRHSxEOg?si=Okm5htH2Qabz6A73