Don Masanja
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 273
- 251
Waarubu ndio jamii kukiko wote dunianWaarabu wana roho ngumu pengine kuliko jamii zote duniani
Ndio kinachowatesa wahindi na Boers. Boers walitaka wabaki pure kama walivyotoka ulaya. Wahindi nao walikuja kwa sera ya kuchuma pesa bila kuingiliana kiutamaduni na waafrika. Kama ulivyoandika mwarabu yeye alifika akawa sehemu ya mwafrika. Mpka kesho kumtenga mwarabu na mwafrika haiwezekani. Mwarabu kawa kabila la waafrika. Mwarabu hapa Tanzania ni sehemu ya mswahili.Watu watembeemiji kama Tabora, kigoma , lindi ambapo waarabu waliishi wapi na walipokuja wazungu walikaa wapi, utagundua mwarabu alichanganyika na mzungu alijitenga kama kusoma huwezi basi tembea na fikilia
The same to jews.Warabu ba Waislael ni watu hatari. Wamemanipulate hadi ddefinition of their race. Hio definition lengo lake ni kujiunganisha na kila mtu/ race duniani.Waarabu ni watu wanaoongea Kiarabu kama lugha yao ya kwanza. Wa Iran wanaongea Farsi kama lugha yao ya kwanza, hawaongei Kiarabu kama lugha yao ya kwanza.
"Iran and Turkey are not Arab countries and their primary languages are Farsi and Turkish respectively. "
Facts about Arabs and the Arab World - ADC
Who is an Arab? "Arab" is a cultural and linguistic term. It refers to those who speak Arabic as their first language. Arabs are united by culture and by history. Arabs are not a race. Some have blue eyes and red hair; others are dark skinned; many are somewhere in between. Most Arabs are Muslimsadc.org
Uarabu si race.The same to jews.Warabu ba Waislael ni watu hatari. Wamemanipulate hadi ddefinition of their race. Hio definition lengo lake ni kujiunganisha na kila mtu/ race duniani.
Nilisoma mahala kuwa miarabu ni mizungu flan iliojipandikiza damu za watu weusi ndio maana ina hio rangi zisiofanana na wazungu. Ila ni mizungu ukiifuatilia vizalia long long time ago. Iweje mwarabu awe mweusi vile vile au mweupe au orange nk.
Mwarabu ni mtu asie eleweka kabisa.
Kuwaona hao wa USA sawa unawaona jee lakini unaijua system yao walio wekewa kuishi huko?.
Angalia level ya elimu yao na maisha yao wanavyo ishi ukienda USA hao black wakipata hela wanahama kwenye neighborhood zao(PJ). Na kuhamia neighborhood za white na huko kwa white nako hawapewi heshima kama ya ukaazi kama ya white. Watu weusi wanahitaji kujitukuza kuanzia barani kwetu Afrika ili kwengine tupate heshima pia.
Lakini leo tourists ana thamani kuliko mzaliwa kipaombele cha utalii kipo mbele zaidi kuliko kipaombele cha wananchi.
Achana na porojo za uongo za timu kobaz.Leo tunaona 13% ya population ya Marekani ikiwa ni ya watu weusi wengi wao kwa asilimia maradufu ni kizazi cha watumwa waliochukuliwa kutoka west africa.
Hivi wale waliokuwa wanatekwa wakina abushiri walipelekwa wapi na mark yao leo iko wapi.
Au walichukuliwa kwa uchache na kusambazwa maeneo tofauti ya waarabu?
Au walifutwa kama vile walivyofutwa wa pale argentina?
Acha uongo.Uarabuni waliwaua wote
Waarabu hawajawahi kuacha biashara yao ya jadi, yaani utumwa kama jamii zingine.Hivi wale waliokuwa wanatekwa wakina abushiri walipelekwa wapi na mark yao leo iko wapi.
Naomba tu nikuulize umefika nch gani ya kiarabuWatumwa waliosafirishwa kwa njia ya Zanzibar wengi walienda bara Hindi na Uarabuni kwenyewe. Walienda kwa wazungu walipelekwa visiwa vya Reunion, Mauritius n Madagascar. Bado tunawaona.
Kuna matanga yalikua yanafanya safari kwenda Uarabuni mengi tu na hakuna kizazi hicho. Mpende Mungu na kumuabudu Mungu. Ruhusu mwarabu akosolewe.
Ushahidi wa maneno yakoAcha upuuzi wewe asilimia kubwa mwarabu alikua anamuuzia mzungu watumwa na hata hivyo mbona waarabu weusi wapo wengi tu
Haiti,na MarekaniLeo tunaona 13% ya population ya Marekani ikiwa ni ya watu weusi wengi wao kwa asilimia maradufu ni kizazi cha watumwa waliochukuliwa kutoka west africa.
Hivi wale waliokuwa wanatekwa wakina abushiri walipelekwa wapi na mark yao leo iko wapi.
Au walichukuliwa kwa uchache na kusambazwa maeneo tofauti ya waarabu?
Au walifutwa kama vile walivyofutwa wa pale argentina?
Nenda libya moroco tunisia misri saud arabia oman iran ukaone ishahidUshahidi wa maneno yako
Ok.Uarabu si race.
"It refers to those who speak Arabic as their first language. Arabs are united by culture and by history. Arabs are not a race".
kFacts about Arabs and the Arab World - ADC
Who is an Arab? "Arab" is a cultural and linguistic term. It refers to those who speak Arabic as their first language. Arabs are united by culture and by history. Arabs are not a race. Some have blue eyes and red hair; others are dark skinned; many are somewhere in between. Most Arabs are Muslimsadc.org
Hawajui kwamba ukienda Saudi Arabia hapo kama wewe ni mweusi wanajua kwamba wewe ni msaudi. Si ajabu akakuongelesha kwa kiarabu.Wameanza Juzi juzi na hio ni Usa pekee, Ulaya kuna weusi wengi na hata hapo Usa Weusi ni walala Hoi.
Ukiangalia jela za Marekani asilimia 37 ni weusi, japo asilimia 13 tu ya wamarekani ni Weusi.
Ukiangalia Uchumi weupe wanamiliki asilimia 84 weusi ni asilimia 4 tu.
Ukija Elimu Weusi Wenye degree ni asilimia 13 tu weupe ni 24 etc.
So kila idara wapo nyuma
Huwezi ukasema Haya nchi za kiarabu, Weusi wapo completely Asimilated na wanaenjoy benefit zote za Waarabu as long as ni raia. Hao Afro Arabs wengi unakuta wamesoma vyuo vya kimataifa kama Havard, Oxford, Cambridge etc,
Weusi wameanza kuwa viongozi zaidi ya miaka 100 sasa huko Uarabuni, na sio Nchi moja Saudi wana MA prince weusi, Kuwait ma Ameir kibao weusi, Oman etc.
Huwezi fananisha kabisa weusi Wa Uarabuni na west.
Ukifika Iraq mtu mweusi wanamuita Zenjbar (Zanzibar).....Waarabu na majahazi yao yalichukua watu wachache tofauti na meli kubwa za wazungu.
Nenda Saudia,Oman hadi India watu weusi wengi sana wamekuwa assimilated na wengine machotara, ukisoma historia ya Iraq ya enzi hizo Kuna miaka mia tatu ilitawaliwa na vizazi vya watumwa toka Afrika Mashariki.
Mwisho waliopelekwa nchi za Marekani waliopelekwa na wanawake wazaliane na kupatika watumwa wapya wa bure.