Hivi kile kizazi cha watumwa waliokuwa wanachukuliwa na waarabu kutoka Tanganyika kiliishia katika taifa/mataifa yapi?

Hivi kile kizazi cha watumwa waliokuwa wanachukuliwa na waarabu kutoka Tanganyika kiliishia katika taifa/mataifa yapi?

Watu watembeemiji kama Tabora, kigoma , lindi ambapo waarabu waliishi wapi na walipokuja wazungu walikaa wapi, utagundua mwarabu alichanganyika na mzungu alijitenga kama kusoma huwezi basi tembea na fikilia
Ndio kinachowatesa wahindi na Boers. Boers walitaka wabaki pure kama walivyotoka ulaya. Wahindi nao walikuja kwa sera ya kuchuma pesa bila kuingiliana kiutamaduni na waafrika. Kama ulivyoandika mwarabu yeye alifika akawa sehemu ya mwafrika. Mpka kesho kumtenga mwarabu na mwafrika haiwezekani. Mwarabu kawa kabila la waafrika. Mwarabu hapa Tanzania ni sehemu ya mswahili.
Japokuwa wapo warabu walioendelea kujitenga na watu weusii.
Ukitaka kumrudisha mwarabu Asia ina maana kama nusu ya waafrika waende Asia. Mfano Sudan kask. Libya nk.
Sijajua mtazamo wa wengi wanawahesabu warabu waafrika kama walowezi au waafrika .
Je AU na viongozi wa Afrika huwa wanalionaje jambo hili.
Mimi huwa naona very comicated issue. MLOWEZI MWARABU KAJIWEKA MPAKA VIJIJINI KWETU HUKO NA WAAFRIKA WANAISHI NAE WALA HAWAMTILII SHAKA.
 
Waarabu ni watu wanaoongea Kiarabu kama lugha yao ya kwanza. Wa Iran wanaongea Farsi kama lugha yao ya kwanza, hawaongei Kiarabu kama lugha yao ya kwanza.

"Iran and Turkey are not Arab countries and their primary languages are Farsi and Turkish respectively. "

The same to jews.Warabu ba Waislael ni watu hatari. Wamemanipulate hadi ddefinition of their race. Hio definition lengo lake ni kujiunganisha na kila mtu/ race duniani.
Nilisoma mahala kuwa miarabu ni mizungu flan iliojipandikiza damu za watu weusi ndio maana ina hio rangi zisiofanana na wazungu. Ila ni mizungu ukiifuatilia vizalia long long time ago. Iweje mwarabu awe mweusi vile vile au mweupe au orange nk.
Mwarabu ni mtu asie eleweka kabisa.
 
Uarabu si race.

"It refers to those who speak Arabic as their first language. Arabs are united by culture and by history. Arabs are not a race".

Kuwaona hao wa USA sawa unawaona jee lakini unaijua system yao walio wekewa kuishi huko?.

Angalia level ya elimu yao na maisha yao wanavyo ishi ukienda USA hao black wakipata hela wanahama kwenye neighborhood zao(PJ). Na kuhamia neighborhood za white na huko kwa white nako hawapewi heshima kama ya ukaazi kama ya white. Watu weusi wanahitaji kujitukuza kuanzia barani kwetu Afrika ili kwengine tupate heshima pia.

Lakini leo tourists ana thamani kuliko mzaliwa kipaombele cha utalii kipo mbele zaidi kuliko kipaombele cha wananchi.

Miaka ya mwanzoni mwa 90 nilikuwa nimetoka masomoni ulaya, Airport Dar ninachukuwa ndege ya ATC kuja huku Zanzibar. Kwenye check in , yule Dada wa ATC alianza kuwashughulikia wazungu walio nyuma yetu badala ya sisi waafrika tuliokuwa mbele. Nilimwendea nikampa shule vizuri kuwa mbona hata hapa kwetu tunadharauliana , akaona aibu sana
 
Hao wengi walikuwa madalali (Middle Men) Mashamba Makumbwa yaliyohitaji watumbwa ni huko USA (kwenye mashamba ya Pamba) au Caribbean Mashamba ya Miwa...
 
Leo tunaona 13% ya population ya Marekani ikiwa ni ya watu weusi wengi wao kwa asilimia maradufu ni kizazi cha watumwa waliochukuliwa kutoka west africa.

Hivi wale waliokuwa wanatekwa wakina abushiri walipelekwa wapi na mark yao leo iko wapi.

Au walichukuliwa kwa uchache na kusambazwa maeneo tofauti ya waarabu?

Au walifutwa kama vile walivyofutwa wa pale argentina?
Achana na porojo za uongo za timu kobaz.
Ukweli upo kwenye bandiko hili hapa chini..
👇
 
Hivi wale waliokuwa wanatekwa wakina abushiri walipelekwa wapi na mark yao leo iko wapi.
Waarabu hawajawahi kuacha biashara yao ya jadi, yaani utumwa kama jamii zingine.

Bado wanafanya biashara ya kuuza na kununua Waafrika kama watumwa hata miaka hii ya sasa..
 
Watumwa waliosafirishwa kwa njia ya Zanzibar wengi walienda bara Hindi na Uarabuni kwenyewe. Walienda kwa wazungu walipelekwa visiwa vya Reunion, Mauritius n Madagascar. Bado tunawaona.
Kuna matanga yalikua yanafanya safari kwenda Uarabuni mengi tu na hakuna kizazi hicho. Mpende Mungu na kumuabudu Mungu. Ruhusu mwarabu akosolewe.
Naomba tu nikuulize umefika nch gani ya kiarabu
 
Waarabu na watu wa Asia kwa ujumla ni wakatili.
Waliua watumwa walipokuwa wazee. Aidha waliwahasi kabisa ili kupoteza watu weusi
 
IMG-20250110-WA0000.jpg
 
Wengi waliishia Kuwait ndio maana hata Mfalme wao ni mweusi kama. Sisi
 
Leo tunaona 13% ya population ya Marekani ikiwa ni ya watu weusi wengi wao kwa asilimia maradufu ni kizazi cha watumwa waliochukuliwa kutoka west africa.

Hivi wale waliokuwa wanatekwa wakina abushiri walipelekwa wapi na mark yao leo iko wapi.

Au walichukuliwa kwa uchache na kusambazwa maeneo tofauti ya waarabu?

Au walifutwa kama vile walivyofutwa wa pale argentina?
Haiti,na Marekani
 
Uarabu si race.

"It refers to those who speak Arabic as their first language. Arabs are united by culture and by history. Arabs are not a race".

k
Ok.
 
Wameanza Juzi juzi na hio ni Usa pekee, Ulaya kuna weusi wengi na hata hapo Usa Weusi ni walala Hoi.

Ukiangalia jela za Marekani asilimia 37 ni weusi, japo asilimia 13 tu ya wamarekani ni Weusi.

Ukiangalia Uchumi weupe wanamiliki asilimia 84 weusi ni asilimia 4 tu.

Ukija Elimu Weusi Wenye degree ni asilimia 13 tu weupe ni 24 etc.

So kila idara wapo nyuma

Huwezi ukasema Haya nchi za kiarabu, Weusi wapo completely Asimilated na wanaenjoy benefit zote za Waarabu as long as ni raia. Hao Afro Arabs wengi unakuta wamesoma vyuo vya kimataifa kama Havard, Oxford, Cambridge etc,

Weusi wameanza kuwa viongozi zaidi ya miaka 100 sasa huko Uarabuni, na sio Nchi moja Saudi wana MA prince weusi, Kuwait ma Ameir kibao weusi, Oman etc.

Huwezi fananisha kabisa weusi Wa Uarabuni na west.
Hawajui kwamba ukienda Saudi Arabia hapo kama wewe ni mweusi wanajua kwamba wewe ni msaudi. Si ajabu akakuongelesha kwa kiarabu.
 
Waarabu na majahazi yao yalichukua watu wachache tofauti na meli kubwa za wazungu.
Nenda Saudia,Oman hadi India watu weusi wengi sana wamekuwa assimilated na wengine machotara, ukisoma historia ya Iraq ya enzi hizo Kuna miaka mia tatu ilitawaliwa na vizazi vya watumwa toka Afrika Mashariki.
Mwisho waliopelekwa nchi za Marekani waliopelekwa na wanawake wazaliane na kupatika watumwa wapya wa bure.
Ukifika Iraq mtu mweusi wanamuita Zenjbar (Zanzibar).....
 
Back
Top Bottom