Hivi kile kizazi cha watumwa waliokuwa wanachukuliwa na waarabu kutoka Tanganyika kiliishia katika taifa/mataifa yapi?

Barack Obama, Pididy nao wanaganga njaa?
 
Barack Obama, Pididy nao wanaganga njaa?
Hao ni individual, ila data Zote zinaonesha watu weusi wapo chini Kielimu, kiuchumi. Ki Afya etc just imagine huo Uchumi weupe wanamilikia 84% na weusi 4% tu angalia hilo gape.

Saudia, Oman, Kuwait etc things are different Black's ni elites, na sio kundi la Chini, Oman na Kuwait Black wapo kwenye Royal families, Wale wote ambao walikua ni elites Znz sasa hivi wapo Oman. Hapo Saudia Makabila ya weusi ndio walikuwa wa Mwanzo kutafuta Allegiance na king wa Saudia alipopindua nchi, Hawsawi na wengineo wapo kwenye Shura ya Saudia, Nafasi nyeti kama Makampuni yao ya Mafuta kama Aramco unawakuta wamejaa kibao, kwenye majeshi ndio usiseme.

Leo hii huwezi sema Mtu mweusi ni elite, Makampuni yanayorun Usa unawatafuta kwa tochi.
 

Wavalishwa pampers kwa mipasho ndio wenyewe
 
Mbona nchi za wazungu weusi wako huru sana? Tunawaona kwenye mpira, muziki na shughuli zingine.
Barack Obama, 50 Cent, lil wayne, movies km zote nk. Ufaransa ndiyo wapo wengi sana.
Waarabu kutoka Syria walikuwa wanakufa majini wakienda nchi za ulaya

Kwahiyo nchi za kiarabu watu weusi hawapo huru? umejaribu kuzitizama timu za taifa za nchi kiarabu kama Saudi na Oman?
 
Mwarabu ni nusu shetani

Karibia watu milion 9 wote walihasiwa na kuuliwa huko
 
wakuu mugeficha ujinga wenu, kati ya nini kuna aliewahifika nchi yoyote kama Saudi, Oman, Kuwait, Iraq, Yemen? yani wabongo mukishashiba ugali munakaa vibarazani kuongea PUMBA
 
Wamewafinya mbupu kama mabeberu ya ndafu na wakafa na vizazi vyao viunoni mwao ova.
 
Kwahiyo nchi za kiarabu watu weusi hawapo huru? umejaribu kuzitizama timu za taifa za nchi kiarabu kama Saudi na Oman?
Mtu mweusi anaweza kuoa mwanamke wa kiarabu? Pale Tunisia mwafrika alichomwa kisu mpk kufa kisa wanahofia watazaliana na kuoa dada zao.
 
Wengi wa vijana wa kigalatia wanamatatizo ya akili
Kama umefunga halafu unabebelea mafimbo kuchapa watu wanaokula, kupika na kukataza watu wasile kwasabb wewe umefunga.
Hapo nani ana matatizo ya akili? Unasimamisha ligi ili ukale mihogo, mkojo wa ngamia tende, maji ya zamzam, urojo na ili uwe una amka saa 9 usiku ule. Daku😁😁😁.
 

Wengi wa watumwa upande wa mshariki ya Afrika walipelekwa kwenye visiwa kama Zanzibar, Reunion, Ushelisheli, Ngazija ambapo kulikuwa na kilimo kama karafuu, miwa n.k.

Wengine kwa uchache walifikishwa bara la Asia nchi za Kiarabu haswa kama wajakazi, kwa sababu katika nchi za Uarabuni hakukuwa na shughuli za kiuchumi zinazohitaji nguvukazi kama kilimo.

Upande wa magharibi waliweza chukuliwa kwa wingi kwa sababu bara la Amerika na Ulaya kulikuwa na shughuli za kilimo na watu weusi walitumika kama manamba huko kwenye mashamba ya pamba, migodini, ujenzi wa reli n.k...
 
Bora kusoma kuongeza elimu kidogo, kuliko kuandika comment kubaki na ujinga. Hebu waulizeni waliofika Oman raiq walio wengi ni weupe ama weusi? Mfanyabiashara mkubwa wa utumwa alikuwa ni mzungu huyo mwarabu labda alikuwa anapiga winga tu.
Acha kutudanganya
 
Hata Iraq kuna Wairaq wengi tu wana asili ya Afrika. Mwaka 2021 kuna dada mmoja mwenye asili ya Africa alianza kutangaza station ya Taifa ya TV huko Baghdad na uwepo wake ulikuwa story iliyo trend sana mtandaoni. Anaitwa Randa Abd Al-Aziz.


Unaweza msoma saidi hapa Randa Abd Al-Aziz - Wikipedia

Iraq pia karne ya tisa wakati wa utawala wa ki khalifa wa Abbasid kumewahi tokea na maasi ya watumwa wa Kibantu maeneo ya Bursa. Maasi hayo yanaitwa kwa kingereza Zenj Rebelion ikiaminika watumwa waliofanya maasi walitokea pwani ya Africa mashariki.
Soma zaidi hapa kuhusu Zenj Rebelion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…