Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Oman wapo, Saudi Arabia wapo, Iraq wapo, Palestina wapo, Yemen wapo n.kWengi waliishia Kuwait ndio maana hata Mfalme wao ni mweusi kama. Sisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oman wapo, Saudi Arabia wapo, Iraq wapo, Palestina wapo, Yemen wapo n.kWengi waliishia Kuwait ndio maana hata Mfalme wao ni mweusi kama. Sisi
Barack Obama, Pididy nao wanaganga njaa?Kuna uzi ulianzishwa jana tu leo mwengine.
Kifupi mkuu sehemu pekee watu weusi waliofanikiwa ni Uarabuni, ndio sehemu pekee utakuta scientist wakubwa, Maprofessor na madokta vyuoni, maEngineer na watu wengine wenye heshima.
Afro Arabs sio masikini ama waganga njaa kama weusi wengine wanaopatikana mataifa mbalimbali Duniani.
Hii comment yangu nilipost jana nacopy na ku paste hapa.
1. Mtu mweusi Tajiri Duniani huwa wanapokezana Baina ya Dangote na Al Amoud Bilionea Wa Saudia, Hakuna Mweusi yoyote Ulaya ama Usa anaegusa kwa Al Amoud
View attachment 3195316
2. Kuna Viongozi Kibao wenye Asili ya Africa ama ambao wame changanya kama Marehemu Qabous wa Oman pamoja na Baba yake, Mfalme wa Zamani wa Kuwait etc hii picha ya Lineage ya Sabah Familia ya viongozi wa Kuwait
View attachment 3195329
View attachment 3195330
3. Ukiangalia makampuni makubwa Makubwa ya Saudia na Arabuni kwa Ujumla utawakuta hao Black Arabs wakiwa na positions kubwa kubwa kama MA CEO, MA Engineer wakubwa, Madaktari etc kifupi kazi zinazohitaji akili.
-Ahmad Hawsawi CEO wa Siemens Saudia
View attachment 3195331
-Abdulelah AlHawsawi
Founder wa Saudi Patient safety centre kama Colaborate centre ya Who (Zipo 5 tu dunia nzima) na ni member wa WHO kwenye same field, pia anakuwa hadi Chairman vikao vingi vya WHO
View attachment 3195336
-Ingia website yoyote inayolist research papers na wanasayansi eka ukoo wowote wa watu weusi Wa Saudia kama huo wa Hawsawi angalia Contribution zao
Hakuna popote Pale Duniani utapata Viongozi wazuri weusi tofauti na Nchi za kiarabu, hakuna popote Duniani utapata watu weusi wasomi tofauti na Nchi za kiarabu hakuna popote pale Duniani utapata watu weusi Wenye Hela tofauti NA nchi za kiarabu huo ni ukweli mchungu ambao wengi hawataki kukubali.
Hao ni individual, ila data Zote zinaonesha watu weusi wapo chini Kielimu, kiuchumi. Ki Afya etc just imagine huo Uchumi weupe wanamilikia 84% na weusi 4% tu angalia hilo gape.Barack Obama, Pididy nao wanaganga njaa?
Achana na porojo za uongo za timu kobaz.
Ukweli upo kwenye bandiko hili hapa chini..
👇
Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama
Wanabodi, Katika karibu kila jambo, kuna mazuri na mabaya yake, kama ilivyo kwa ukoloni, japo wakoloni walitunyonya, pia kuna mazuri, walituachia, ikiwepo elimu ya kisasa, walileta maendeleo mbambali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii vikiwemo viwanda, miundombinu, maendeleo ya kilimo, ila pia...www.jamiiforums.com
Mbona nchi za wazungu weusi wako huru sana? Tunawaona kwenye mpira, muziki na shughuli zingine.
Barack Obama, 50 Cent, lil wayne, movies km zote nk. Ufaransa ndiyo wapo wengi sana.
Waarabu kutoka Syria walikuwa wanakufa majini wakienda nchi za ulaya
Mwarabu ni nusu shetaniLeo tunaona 13% ya population ya Marekani ikiwa ni ya watu weusi wengi wao kwa asilimia maradufu ni kizazi cha watumwa waliochukuliwa kutoka west africa.
Hivi wale waliokuwa wanatekwa wakina abushiri walipelekwa wapi na mark yao leo iko wapi.
Au walichukuliwa kwa uchache na kusambazwa maeneo tofauti ya waarabu?
Au walifutwa kama vile walivyofutwa wa pale argentina?
Mtu mweusi anaweza kuoa mwanamke wa kiarabu? Pale Tunisia mwafrika alichomwa kisu mpk kufa kisa wanahofia watazaliana na kuoa dada zao.Kwahiyo nchi za kiarabu watu weusi hawapo huru? umejaribu kuzitizama timu za taifa za nchi kiarabu kama Saudi na Oman?
Kama umefunga halafu unabebelea mafimbo kuchapa watu wanaokula, kupika na kukataza watu wasile kwasabb wewe umefunga.Wengi wa vijana wa kigalatia wanamatatizo ya akili
Leo tunaona 13% ya population ya Marekani ikiwa ni ya watu weusi wengi wao kwa asilimia maradufu ni kizazi cha watumwa waliochukuliwa kutoka west africa.
Hivi wale waliokuwa wanatekwa wakina abushiri walipelekwa wapi na mark yao leo iko wapi.
Au walichukuliwa kwa uchache na kusambazwa maeneo tofauti ya waarabu?
Au walifutwa kama vile walivyofutwa wa pale argentina?
Mwarabu alikuwa mtu kati tu, yeye alimuuzia mmarekani watumwaAfadhali hata wamarekani tunawaona waafrika huko ila hawa waarabu sijui waliwapeleka wapi waafrika, maana hatuwaoni katika mataifa yao, tuone hata machotara tu
Acha kutudanganyaBora kusoma kuongeza elimu kidogo, kuliko kuandika comment kubaki na ujinga. Hebu waulizeni waliofika Oman raiq walio wengi ni weupe ama weusi? Mfanyabiashara mkubwa wa utumwa alikuwa ni mzungu huyo mwarabu labda alikuwa anapiga winga tu.
Kama hao wengine wanavyotetea mabwana zao wa kizunguSubir wavaa kobazi waje hapa kuwatetea mabwana zao
Wana roho mbaya sanaWaarabu wana roho ngumu pengine kuliko jamii zote duniani
Walienda kutupwa India huko.
Wapo vijijini huko wanaitwa SIDDI.
Ukiwaona huwezi kuwatofautisha na fatuma wa tandale labda aongee
View: https://youtu.be/OuqgRHSxEOg?si=Okm5htH2Qabz6A73
Hata Iraq kuna Wairaq wengi tu wana asili ya Afrika. Mwaka 2021 kuna dada mmoja mwenye asili ya Africa alianza kutangaza station ya Taifa ya TV huko Baghdad na uwepo wake ulikuwa story iliyo trend sana mtandaoni. Anaitwa Randa Abd Al-Aziz.Kuna uzi ulianzishwa jana tu leo mwengine.
Kifupi mkuu sehemu pekee watu weusi waliofanikiwa ni Uarabuni, ndio sehemu pekee utakuta scientist wakubwa, Maprofessor na madokta vyuoni, maEngineer na watu wengine wenye heshima.
Afro Arabs sio masikini ama waganga njaa kama weusi wengine wanaopatikana mataifa mbalimbali Duniani.
Hii comment yangu nilipost jana nacopy na ku paste hapa.
1. Mtu mweusi Tajiri Duniani huwa wanapokezana Baina ya Dangote na Al Amoud Bilionea Wa Saudia, Hakuna Mweusi yoyote Ulaya ama Usa anaegusa kwa Al Amoud
View attachment 3195316
2. Kuna Viongozi Kibao wenye Asili ya Africa ama ambao wame changanya kama Marehemu Qabous wa Oman pamoja na Baba yake, Mfalme wa Zamani wa Kuwait etc hii picha ya Lineage ya Sabah Familia ya viongozi wa Kuwait
View attachment 3195329
View attachment 3195330
3. Ukiangalia makampuni makubwa Makubwa ya Saudia na Arabuni kwa Ujumla utawakuta hao Black Arabs wakiwa na positions kubwa kubwa kama MA CEO, MA Engineer wakubwa, Madaktari etc kifupi kazi zinazohitaji akili.
-Ahmad Hawsawi CEO wa Siemens Saudia
View attachment 3195331
-Abdulelah AlHawsawi
Founder wa Saudi Patient safety centre kama Colaborate centre ya Who (Zipo 5 tu dunia nzima) na ni member wa WHO kwenye same field, pia anakuwa hadi Chairman vikao vingi vya WHO
View attachment 3195336
-Ingia website yoyote inayolist research papers na wanasayansi eka ukoo wowote wa watu weusi Wa Saudia kama huo wa Hawsawi angalia Contribution zao
Hakuna popote Pale Duniani utapata Viongozi wazuri weusi tofauti na Nchi za kiarabu, hakuna popote Duniani utapata watu weusi wasomi tofauti na Nchi za kiarabu hakuna popote pale Duniani utapata watu weusi Wenye Hela tofauti NA nchi za kiarabu huo ni ukweli mchungu ambao wengi hawataki kukubali.
Mtu mweusi anaweza kuoa mwanamke wa kiarabu? Pale Tunisia mwafrika alichomwa kisu mpk kufa kisa wanahofia watazaliana na kuoa dada zao.