Hivi kile kizazi cha watumwa waliokuwa wanachukuliwa na waarabu kutoka Tanganyika kiliishia katika taifa/mataifa yapi?

Ukatili wa waarabu hauna kifani. Hawashindwi kuwaua.

Arabs are naturally sadists. Kama mtu mzima na akili zake timamu anadiriki kumnyea binadamu mwenzie kwa starehe za kingono, unadhani wanashindwa hata kuwaua kwa faraja zao za kinyama.
 
Mmeshafika wavaa kibazi na vipedo 😀,kwanin hamtakagi kukubali kuwa waarabu waliwaua na kuwahasi watumwa waliopelekwa uarabuni?
Sawa bwana mvaa Suti na 4 engo. Ila waliokuletea hizo suti ndio waliowakoloni babu zako, baba zako na mpaka wewe mwenyewe fikra zako wameziweka kwenye selo zao.
 
Hakuna popote Pale Duniani utapata Viongozi wazuri weusi tofauti na Nchi za kiarabu, hakuna popote Duniani utapata watu weusi wasomi tofauti na Nchi za kiarabu hakuna popote pale Duniani utapata watu weusi Wenye Hela tofauti NA nchi za kiarabu huo ni ukweli mchungu ambao wengi hawataki kukubali.
Mbona USA kuna viongozi kibao weusi mfano Kamala Harris ,Ras Baraka (mayor wa New Jersey) na Marekani ilishawahi ongozwa na mtu mweusi ( Barak Obama)
 
Wameanza Juzi juzi na hio ni Usa pekee, Ulaya kuna weusi wengi na hata hapo Usa Weusi ni walala Hoi.

Ukiangalia jela za Marekani asilimia 37 ni weusi, japo asilimia 13 tu ya wamarekani ni Weusi.

Ukiangalia Uchumi weupe wanamiliki asilimia 84 weusi ni asilimia 4 tu.

Ukija Elimu Weusi Wenye degree ni asilimia 13 tu weupe ni 24 etc.

So kila idara wapo nyuma

Huwezi ukasema Haya nchi za kiarabu, Weusi wapo completely Asimilated na wanaenjoy benefit zote za Waarabu as long as ni raia. Hao Afro Arabs wengi unakuta wamesoma vyuo vya kimataifa kama Havard, Oxford, Cambridge etc,

Weusi wameanza kuwa viongozi zaidi ya miaka 100 sasa huko Uarabuni, na sio Nchi moja Saudi wana MA prince weusi, Kuwait ma Ameir kibao weusi, Oman etc.

Huwezi fananisha kabisa weusi Wa Uarabuni na west.
 
Nafikiri waliwauza kwa wazungu wengi wao
Na kidogo wakapelekwa uarabuni
Nimekaa nchi za kiarabu nyingi na nimewaona watu weusi na hata Viongozi wakubwa na hata kwenye majeshi wamo wengi tena wenye vyeo vikubwa sana mpaka marubani nimewaona
Nimefanya nao kazi
Ila nilikuja kushangaa nilipokutana na Mpalestina mweusi
Uarabuni wapo watu weusi wengi tu, na kuna jimbo moja kule Iran ni la watu weusi na wanafahamika kabisa uzao wao ulitokea East Africa. Ni sawa sio wengi kama US lakini wapo , kwa sababu waarabu walikua wakiifanya hio biashara ya utumwa kwa kuwauzia wazungu, hivyo walioenda uarabuni hawakua wengi kama walioenda America ya kaskazini na kusini.
 
Ila nchi za kiarabu ndo zinaongoza kwa kuwatesa watu weusi. Watu weusi wengi wanafanywa kama watumwa kwenye nyumba za kiarabu na pia nchi za kiarabu ndo zinaongoza kutoa hukumu ya vifo kwa watu weusi sasa si bora Marekani wanawafunga peke yake.
 
Hatari sana mkuu

Uarabuni wapo watu weusi wengi tu, na kuna jimbo moja kule Iran ni la watu weusi na wanafahamika kabisa uzao wao ulitokea East Africa. Ni sawa sio wengi kama US lakini wapo , kwa sababu waarabu walikua wakiifanya hio biashara ya utumwa kwa kuwauzia wazungu, hivyo walioenda uarabuni hawakua wengi kama walioenda America ya kaskazini na kusini.
Wasiojua haya wana ile dhana ya kuwa walihasiwa
Sasa sijui walizaanaje wote
Nimewaona wa mataifa mengi kuanzia Saudia wapo wengi tu, Oman, Q8, na Khaleej yote wapo mpaka Yemen wapo
Watu wanapenda kujishusha sana
Yaliyopita yamepita
 
Bora kusoma kuongeza elimu kidogo, kuliko kuandika comment kubaki na ujinga. Hebu waulizeni waliofika Oman raiq walio wengi ni weupe ama weusi? Mfanyabiashara mkubwa wa utumwa alikuwa ni mzungu huyo mwarabu labda alikuwa anapiga winga tu.
Huu uzi unalengo la udini tu! Mwarabu alikuja africa kufanya biashara tu sio kuuza watu! Ndo maana nchi kama ya kirwa ilikuwa na sarafu yake kabla ya wazungu hawajaelimika, someni vzr historia
 
Kuna uzi ulianzishwa jana tu leo mwengine.

Kifupi mkuu sehemu pekee watu weusi waliofanikiwa ni Uarabuni, ndio sehemu pekee utakuta scientist wakubwa, Maprofessor na madokta vyuoni, maEngineer na watu wengine wenye heshima.

Afro Arabs sio masikini ama waganga njaa kama weusi wengine wanaopatikana mataifa mbalimbali Duniani.

Hii comment yangu nilipost jana nacopy na ku paste hapa.

1. Mtu mweusi Tajiri Duniani huwa wanapokezana Baina ya Dangote na Al Amoud Bilionea Wa Saudia, Hakuna Mweusi yoyote Ulaya ama Usa anaegusa kwa Al Amoud
View attachment 3195316

2. Kuna Viongozi Kibao wenye Asili ya Africa ama ambao wame changanya kama Marehemu Qabous wa Oman pamoja na Baba yake, Mfalme wa Zamani wa Kuwait etc hii picha ya Lineage ya Sabah Familia ya viongozi wa Kuwait
View attachment 3195329
View attachment 3195330

3. Ukiangalia makampuni makubwa Makubwa ya Saudia na Arabuni kwa Ujumla utawakuta hao Black Arabs wakiwa na positions kubwa kubwa kama MA CEO, MA Engineer wakubwa, Madaktari etc kifupi kazi zinazohitaji akili.

-Ahmad Hawsawi CEO wa Siemens Saudia
View attachment 3195331

-Abdulelah AlHawsawi
Founder wa Saudi Patient safety centre kama Colaborate centre ya Who (Zipo 5 tu dunia nzima) na ni member wa WHO kwenye same field, pia anakuwa hadi Chairman vikao vingi vya WHO
View attachment 3195336

-Ingia website yoyote inayolist research papers na wanasayansi eka ukoo wowote wa watu weusi Wa Saudia kama huo wa Hawsawi angalia Contribution zao

Hakuna popote Pale Duniani utapata Viongozi wazuri weusi tofauti na Nchi za kiarabu, hakuna popote Duniani utapata watu weusi wasomi tofauti na Nchi za kiarabu hakuna popote pale Duniani utapata watu weusi Wenye Hela tofauti NA nchi za kiarabu huo ni ukweli mchungu ambao wengi hawataki kukubali.
1. Al Amoud ni mwarabu.
 
Leo tunaona 13% ya population ya Marekani ikiwa ni ya watu weusi wengi wao kwa asilimia maradufu ni kizazi cha watumwa waliochukuliwa kutoka west africa.

Hivi wale waliokuwa wanatekwa wakina abushiri walipelekwa wapi na mark yao leo iko wapi.

Au walichukuliwa kwa uchache na kusambazwa maeneo tofauti ya waarabu?

Au walifutwa kama vile walivyofutwa wa pale argentina?
Arabuni, watumwa waliminywa makende, kuahisiwa kabisa, hakuna kuzaa,mbegu nyeusi haikusambaa kabisa,
 
Nafikiri waliwauza kwa wazungu wengi wao
Na kidogo wakapelekwa uarabuni
Nimekaa nchi za kiarabu nyingi na nimewaona watu weusi na hata Viongozi wakubwa na hata kwenye majeshi wamo wengi tena wenye vyeo vikubwa sana mpaka marubani nimewaona
Nimefanya nao kazi
Ila nilikuja kushangaa nilipokutana na Mpalestina mweusi
Mkuu hawa jamaaa wanaotoa maoni hasi ni wajinga sana sana. Hivi hizi ni zama za kuamini propaganda ! Yaani mtu anashindwa kufuatilia ukweli na kuamini vitabu vya drs la 4 na 5.
Internet imejaa taarifa kedekede vipi mtu ae delee kuwa mjinga na kuamini taarifa ya chanso kimoja cha habari .
Siwapendi warabu ila
Kuamini ujinga kwangu kamwe.
Warabu ndio watu weupe ambao wengi wao wamechanganya damu na watu weusi, ina maana watu hawaoni hata pale morroco, Libya, Saudia.
Je kule India hakuna watu wanaitwa Sidis ambao ni zao la utumwa. Pakistan, Uturuki kote huko mbona kuna ex slave wengi tu.
Kwa nini watu wana amini ujinga ? Watu jielimisheni aisee. Mnatia aibu, ndio maana wakenya wanasema watanzania hawana elimu huenda ikawa kweli.
You tube kuna documentary nyingi za watu weusi wa ara Asia.
Bora umethibitisha kuwa umewaona kwa macho huenda wakaacha kuamini ujinga.
 
Leo tunaona 13% ya population ya Marekani ikiwa ni ya watu weusi wengi wao kwa asilimia maradufu ni kizazi cha watumwa waliochukuliwa kutoka west africa.

Hivi wale waliokuwa wanatekwa wakina abushiri walipelekwa wapi na mark yao leo iko wapi.

Au walichukuliwa kwa uchache na kusambazwa maeneo tofauti ya waarabu?

Au walifutwa kama vile walivyofutwa wa pale argentina?
Karibia ya wale wote waliokwenda Uarabuni walikatwa mboo ili wasiende kuzaana kule na wengi walifia majini (baharini) kwani walitupwa humo baada ya kuvuja damu kwa wingi. Halafu anatokea Mtanzania mjinga asiyetaka kusoma ili ajuwe histori yake na kusema Mwarab ni ndugu yetu
 
Mkuu hawa jamaaa wanaotoa maoni hasi ni wajinga sana sana. Hivi hizi ni zama za kuamini propaganda ! Yaani mtu anashindwa kufuatilia ukweli na kuamini vitabu vya drs la 4 na 5.
Internet imejaa taarifa kedekede vipi mtu ae delee kuwa mjinga na kuamini taarifa ya chanso kimoja cha habari .
Siwapendi warabu ila
Kuamini ujinga kwangu kamwe.
Warabu ndio watu weupe ambao wengi wao wamechanganya damu na watu weusi, ina maana watu hawaoni hata pale morroco, Libya, Saudia.
Je kule India hakuna watu wanaitwa Sidis ambao ni zao la utumwa. Pakistan, Uturuki kote huko mbona kuna ex slave wengi tu.
Kwa nini watu wana amini ujinga ? Watu jielimisheni aisee. Mnatia aibu, ndio maana wakenya wanasema watanzania hawana elimu huenda ikawa kweli.
You tube kuna documentary nyingi za watu weusi wa ara Asia.
Bora umethibitisha kuwa umewaona kwa macho huenda wakaacha kuamini ujinga.
Kaka umeongea kwa uchungu sana ila ndo ukweli ulivyo. Sisi muda mwingi tunatumia muda mwingi kulumbana mambo ya udaku wakati kumbe tungetumia japo dakika ishirini kuongeza kitu kichwani. Matokeo yake tunasubiri wazungu watuandikie vitabu vya history yetu wenyewe halafu na sisi tunavisoma bila hata kutumia common sense.
 
Huu uzi unalengo la udini tu! Mwarabu alikuja africa kufanya biashara tu sio kuuza watu! Ndo maana nchi kama ya kirwa ilikuwa na sarafu yake kabla ya wazungu hawajaelimika, someni vzr historia
Ni kweli kaka unayoongea na sisi tayari tushapandikizwa mbegu ya chuki ya rangi na dini basi tunakwenda tu kwa ushabiki.

Utasikia kulikuwa na mapinduzi Zanzibar ya kumuondoa mwarabu. Sasa swali je waarabu walikuja na jeshi lao?

mbona hatujawahi kusikia wakisema uchumi wa Znz unaendeshwa na utalii na karafuu. Je hizo karafuu bila ya mwarabu zingefika znz?

Na mbaya zaidi itikadi zetu zinatutuma kuamini kuwa waarabu wote ni waislamu.
 
Back
Top Bottom