Hivi kile kizazi cha watumwa waliokuwa wanachukuliwa na waarabu kutoka Tanganyika kiliishia katika taifa/mataifa yapi?

Hivi kile kizazi cha watumwa waliokuwa wanachukuliwa na waarabu kutoka Tanganyika kiliishia katika taifa/mataifa yapi?

Mkuu,

Iran si Uarabuni lakini. WaIran si Waarabu.
ni jamii hiyohiyo ya waarabu, sijui kwa nini huwa mnawatoa wairan kwa waarabu wakati ni jamii moja na wamo katika jumuiya ya nchi za kiarabu
 
Wewe muanzisha mada na hayo wenzio mtakuwa wapumbavu either kwq kujua au kutojua hivi mnasoma kweli ya ulimwengu au mpo comfotable hapo kwa mtogole? 👇👇 Huyu ni nani ni bibi yako? Au nikuletee wengine?
Ndugu hasira za nini 😂😂

Mimi nimeuliza ili mnisaiidie majibu, sijatoa conclusion yoyote.

Jitafakari
 
Wewe muanzisha mada na hayo wenzio mtakuwa wapumbavu either kwq kujua au kutojua hivi mnasoma kweli ya ulimwengu au mpo comfotable hapo kwa mtogole? 👇👇 Huyu ni nani ni bibi yako? Au nikuletee wengine?
Matusi ya nini mkuu?
 
Leo tunaona 13% ya population ya Marekani ikiwa ni ya watu weusi wengi wao kwa asilimia maradufu ni kizazi cha watumwa waliochukuliwa kutoka west africa.

Hivi wale waliokuwa wanatekwa wakina abushiri walipelekwa wapi na mark yao leo iko wapi.

Au walichukuliwa kwa uchache na kusambazwa maeneo tofauti ya waarabu?

Au walifutwa kama vile walivyofutwa wa pale argentina?
Wapo blacks wachache kwenye baadhi ya nchi za kiarabu. Huwa sio rahisi kuwaona kwa sababu ni insignificant socially, economicaly and in terms of numbers. Wa marekani ni rahisi kuwaona kwa vile wanaenda shule, wanashiriki social events including sports and music na ni wengi kidogo na pia wengine wana mkwanja. Matukio ya marekani ni rahisi kuyaona kwenye TV na magazeti.

Lini umewahi kusoma arabic newspaper?
Lini umeangalia TV za kiarabu mbali na aljazeera?
 
Mkuu,

Iran si Uarabuni lakini. WaIran si Waarabu.
Iran sio nchi ya Kiarabu, ila upande unaopakana na Iraq, kuna Iranian arabs. Na upande huo huo pia kuna masalia ya vizazi vya watumwa kama ambavyo kuna blacks kadhaa maeneo ya Basra kule Iraq.
 
Naomba ushushe mkuu tafadhari
Books
The slave trade....by Hugh Thomas
Slavery in the Arab world by Murray Gordon
The African Slave trade and the Arab world by John Hunwick.....
Sasa katika wote hawa wamezungumzia babu zetu walivyopigwa kipara yaani kulawitia na hawa waarab tena hadharani,,,,,,,SEXUAL ABUSE WAS ALSO A HORRIFIC REALITY FOR MANY ENSLAVED AFRICANS,,,,,BY THEIR OWNERS.......
..........Kuna nyingine naitafuta nitakuwekeeni hapa....ni Documentary.......
 
Nafikiri waliwauza kwa wazungu wengi wao.

Na kidogo wakapelekwa uarabuni

Nimekaa nchi za kiarabu nyingi na nimewaona watu weusi na hata Viongozi wakubwa na hata kwenye majeshi wamo wengi tena wenye vyeo vikubwa sana mpaka marubani nimewaona

Nimefanya nao kazi
Ila nilikuja kushangaa nilipokutana na Mpalestina mweusi
lione hili jinga lilivyo ongo
 
Leo tunaona 13% ya population ya Marekani ikiwa ni ya watu weusi wengi wao kwa asilimia maradufu ni kizazi cha watumwa waliochukuliwa kutoka west africa.

Hivi wale waliokuwa wanatekwa wakina abushiri walipelekwa wapi na mark yao leo iko wapi.

Au walichukuliwa kwa uchache na kusambazwa maeneo tofauti ya waarabu?

Au walifutwa kama vile walivyofutwa wa pale argentina?

Wacha ujinga wa CCM na kanisa lenu , Abushiri alinunuwa watumwa kutoka kwa machifu wenu wa kiafrika .Walikuwa wakiwakamata wezi na walevi Kama nyinyi baadaye wakiwauza kuondosha hizo takataka kwenye tawala zao.
Wanunuzi ni Hao Makardinali wa Kireno na Kiengereza wao wakiwapeleka Marekani na Carribean kwenye mashamba ya kanisa. Meli ya kwanza kuchukuwa watumwa ikiitwa Jesus
 
Back
Top Bottom