Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Kwanza kabisa napenda kazi ya hawa watu. Tungekuwa na watu kumi kama hawa nchi ingekuwa inaenda kwenye mtaari mnyoofu kabisa na kufuata sheria.
Swali najiuliza nini kipo ndani yao kinawafanya wawe wanaharakati wajasiri namna ile?
Je, ni elimu waliyo pata. Kuna elimu mtu unapata inakufanya usiwe muoga wala usiogope kuhoji, elimu inayokufanya utambue haki zako na inayokufanya uzitetee.
Achana na hizi elimu za kuchapana fimbo, kukaripiana ambazo hata kuuliza swali darasani unaogopa.
Je, ni connections za wazazi wao ndiyo zinawafanya kuwa majasiri namna ile?
Au ni damu iliyo ndani yao, maana hawa wote ni machotara. Kuna wanavyotetea unaweza dhani kuna white savior complex😔.
Sasa ni vema kuwa na kizazi cha watu wanaojua haki zao na wanaoweza kuzitetea, nini kilichopoa kwa watu hawa ili tukiduplicate?