Hivi kinachofanya Maria Sarungi na Fatma Karume wawe wanaharakati namna ile ni nini?

Ata mwanaharakati anakuwa na specific cause anayosimamia na hana upande wa siasa.

Maria na Fatma sio wanaharakati ni wanasiasa ata hawajui wanasimamia nini. Kikubwa zaidi ni spoilt rich brats with too much time on their hands and mental case. If you ask me wanachekewa sana.

Unaweza kumuweka na Kigogo2014 on that list, yule ndio ana psychology issue kabisa he is obsessed with self grandiose; he can hack so what? But everyone knows much of the info anatumiwa tu.

Wao wana attack mtu yeyote kwenye macho yao ambae atoi support kwenye cause yao ya kipuuzi.
Mi binafsi sioni kama ni wanasiasa. Kwa sehemu kubwa naona wanapigania utawala wa sheria. Wana kitu kinachoeleweka wanakipigania.
 
Tanzania kuna option tati tu kwenye maisha yetu ya kila siku;

1) Kuwa Mnafiki (Muunga Juhudi/Muongo/Mfitinishaji/Msaka Uteuzi).

2) Kuwa Mpaza Sauti (Mtetezi/Mwanaharakati/Mkosoaji).

3) Kuwa Hujali Chochote (Duniani Hawapo, Akhera Wanatafutwa - Lolote Lifanyike Wao Ni Fresh Tu. Taifa Liende Linapokwenda Wao Ni Poa tu).

Sasa hapo, kila mtu akijitafakari nafsi yake atajua yupo kundi gani katika hayo matatu. Pia, ni haki ya kila raia kikatiba kuamua uhuru wake wa kujieleza anautenda vipi (Kuchagua kundi lipi anafaa kuwa).
 
Mi binafsi sioni kama ni wanasiasa. Kwa sehemu kubwa naona wanapigania utawala wa sheria. Wana kitu kinachoeleweka wanakipigania.
Definition ya mwanaharakati ni ‘Tundu Lissu’ kabla ya siasa. Unaona track record yake ya kupambana na migodi kuwa responsible kwa jamii inayozunguka na kutotaka kuona wananchi wanapokonywa haki zao in favour of big mining corporations. Na katika harakati zake alikuwa anapambana na serikali pamoja ni big corporates mahakamani, hakuwa na upande. Wao vita vyao na mwenzake jina limenitoka ilikuwa maslahi mapana ya wananchi wanaoishi kwenye maeneo ya migodi.

Mwanaharakati ana cause anayopigania, Fatma Karume mara anapigania katiba, kesho Zanzibar independence, mara media, keshokutwa ana ugomvi na mwanasiasa, mara ugomvi na chama cha siasa, mara kuonekana kwenye mkutano wa chama cha siasa, mara wakili wa mwanasiasa, anataka kuwa raisi TLS; she is just a confused old woman all over the place akilalama siku nzima.

Kuitwa mwanaharakati unakuwa na specific cause unayo lobby mfano ‘Dorris Mollel’ kwa sasa ni NGO lakini akianza ku lobby kuhusu issue zake kutaka kuona serikali inawekeza kwenye mazingira sahihi ya kuwapa chsnces za ku survive watoto njiti anakuwa mwanaharakati; one needs an agenda ambayo anaipigania.

Unapambania sheria tukuone huko vijijini unaongelea kesi za watu waliobambikiziwa mashitaka, upo unapambana sheria zibadilishwe au wahusika wachukuliwe hatua. Wewe unatafuta kiki za matukio ya kisiasa ni mwanasiasa tena a confused one; sio mwanaharakati.
 
Sahihi kabisa..

Maria na Fatma sio wanaharakati. Maria ameanza kukosoa serikali baada ya kunyimwa tender za PR kwenye taasisi za serikali. Huko alikuwa alipiga pesa ndefu sana na alivyoingia Magu akakata huo mzizi ndio harakati zikaanza..

Kwangu Mimi ni bora ya Fatma kuliko Maria, Fatma hablock mtu, Maria ukimchallenge kidogo tu anakimbilia kukublock alafu anajiita mpigania uhuru wa kujieleza
 
Si unaona sasa kumbe ana maslahi yake.

Binafsi nawaona wote wawili ni mental case tu.
 
Wana elim, exposure ,wanajitambua na pia wanaijua serikal in n out cz wameishi ndan ya system kupitia wazaz wao kwa muda mrefu, kwahyo wanafaham vzr wanachosimamia. Lakin pia kupinga unyanyasaji hua inakuja automatically kwa mtu kutokana na factors nyingi .... Wanaharakat bongo ni wengi sana ila inategemea mtu ana protest vp. Refer Active n Passive Resistance kipindi icho. Personally niko so proud of them maana uanaharakati wao uko moyoni cz hawana chakupoteza hata wangeamua kukaa kimya bt they choose to stand with the oppressed .
 
Ata mwanaharakati anakuwa na specific cause anayosimamia na hana upande wa siasa.

Maria na Fatma sio wanaharakati ni wanasiasa ata hawajui wanasimamia nini. Kikubwa zaidi ni spoilt rich brats with too much time on their hands and mental case. If you ask me wanachekewa sana.

Unaweza kumuweka na Kigogo2014 on that list, yule ndio ana psychology issue kabisa he is obsessed with self grandiose; he can hack so what? But everyone knows much of the info anatumiwa tu.

Wao wana attack mtu yeyote kwenye macho yao ambae atoi support kwenye cause yao ya kipuuzi.
Wako chama gani?
 
Mfano yule mtoto wa kijazi alietimuliwa angekuwepo mzee hai angeguswa au kwanini hujiurizi membe hakuguswa hata enzi za magufuri,

Mkuu unaweza kuigusa familia ya nyerere kisa kuongea geuza na karume

Umemuona lissu saizi anaongelea nje angekuwa mtoto wa nyerere kuna hata angemgusa na zile risasi

Tanzania bila chimbuko nyuma wewe ni taka taka

La uwe chimbuko la pesa toka nchi inapata uhuru na ukoo wenu walishiriki kutoa misaada ya kifedha hapo hutaguswa

Unadhani profesa jay kukaa kimya hajui kuongea hana chimbuko la mizizi

Unadhani mbowe anaguswa kidogo kisa nini rejea chimbuko la ukoo wao

Humuoni lema saizi yupo wapi hana chimbuko

Narudia tena tanzania bila chimbuko wewe ni takataka

Sent using Jamii Forums mobile app
We ndio umesema ukweli fikirishi
 
Back
Top Bottom