Hivi kinachofanya Maria Sarungi na Fatma Karume wawe wanaharakati namna ile ni nini?

Mi binafsi sioni kama ni wanasiasa. Kwa sehemu kubwa naona wanapigania utawala wa sheria. Wana kitu kinachoeleweka wanakipigania.
 
Tanzania kuna option tati tu kwenye maisha yetu ya kila siku;

1) Kuwa Mnafiki (Muunga Juhudi/Muongo/Mfitinishaji/Msaka Uteuzi).

2) Kuwa Mpaza Sauti (Mtetezi/Mwanaharakati/Mkosoaji).

3) Kuwa Hujali Chochote (Duniani Hawapo, Akhera Wanatafutwa - Lolote Lifanyike Wao Ni Fresh Tu. Taifa Liende Linapokwenda Wao Ni Poa tu).

Sasa hapo, kila mtu akijitafakari nafsi yake atajua yupo kundi gani katika hayo matatu. Pia, ni haki ya kila raia kikatiba kuamua uhuru wake wa kujieleza anautenda vipi (Kuchagua kundi lipi anafaa kuwa).
 
Mi binafsi sioni kama ni wanasiasa. Kwa sehemu kubwa naona wanapigania utawala wa sheria. Wana kitu kinachoeleweka wanakipigania.
Definition ya mwanaharakati ni ‘Tundu Lissu’ kabla ya siasa. Unaona track record yake ya kupambana na migodi kuwa responsible kwa jamii inayozunguka na kutotaka kuona wananchi wanapokonywa haki zao in favour of big mining corporations. Na katika harakati zake alikuwa anapambana na serikali pamoja ni big corporates mahakamani, hakuwa na upande. Wao vita vyao na mwenzake jina limenitoka ilikuwa maslahi mapana ya wananchi wanaoishi kwenye maeneo ya migodi.

Mwanaharakati ana cause anayopigania, Fatma Karume mara anapigania katiba, kesho Zanzibar independence, mara media, keshokutwa ana ugomvi na mwanasiasa, mara ugomvi na chama cha siasa, mara kuonekana kwenye mkutano wa chama cha siasa, mara wakili wa mwanasiasa, anataka kuwa raisi TLS; she is just a confused old woman all over the place akilalama siku nzima.

Kuitwa mwanaharakati unakuwa na specific cause unayo lobby mfano ‘Dorris Mollel’ kwa sasa ni NGO lakini akianza ku lobby kuhusu issue zake kutaka kuona serikali inawekeza kwenye mazingira sahihi ya kuwapa chsnces za ku survive watoto njiti anakuwa mwanaharakati; one needs an agenda ambayo anaipigania.

Unapambania sheria tukuone huko vijijini unaongelea kesi za watu waliobambikiziwa mashitaka, upo unapambana sheria zibadilishwe au wahusika wachukuliwe hatua. Wewe unatafuta kiki za matukio ya kisiasa ni mwanasiasa tena a confused one; sio mwanaharakati.
 
Sahihi kabisa..

Maria na Fatma sio wanaharakati. Maria ameanza kukosoa serikali baada ya kunyimwa tender za PR kwenye taasisi za serikali. Huko alikuwa alipiga pesa ndefu sana na alivyoingia Magu akakata huo mzizi ndio harakati zikaanza..

Kwangu Mimi ni bora ya Fatma kuliko Maria, Fatma hablock mtu, Maria ukimchallenge kidogo tu anakimbilia kukublock alafu anajiita mpigania uhuru wa kujieleza
 
Si unaona sasa kumbe ana maslahi yake.

Binafsi nawaona wote wawili ni mental case tu.
 
Wana elim, exposure ,wanajitambua na pia wanaijua serikal in n out cz wameishi ndan ya system kupitia wazaz wao kwa muda mrefu, kwahyo wanafaham vzr wanachosimamia. Lakin pia kupinga unyanyasaji hua inakuja automatically kwa mtu kutokana na factors nyingi .... Wanaharakat bongo ni wengi sana ila inategemea mtu ana protest vp. Refer Active n Passive Resistance kipindi icho. Personally niko so proud of them maana uanaharakati wao uko moyoni cz hawana chakupoteza hata wangeamua kukaa kimya bt they choose to stand with the oppressed .
 
Wako chama gani?
 
We ndio umesema ukweli fikirishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…