Hivi kinachofanya Maria Sarungi na Fatma Karume wawe wanaharakati namna ile ni nini?

Huyo Fatma nae ni bingwa wa kublock kama hujui
 
Hakuna wanaharakati hapo, Ni utumbo tu. Wanachojua zaidi ni kublock watu wanaowakosoa tu
 
UKIWA HUNA NJAA NI RAHISI SANA KUONGEA UKWELI NA KUSIMAMIA HAKI.

KABUDI NA POLEPOLE WAKATI WA MCHAKATO WA KATIBA WALIONGEA UKWELI HADI NCHI IKATIKISIKA. WALIPOWEKA NJAA KICHWANI NDIO MATOKEO TUKAYAONA.

KIGWANGALA NI DR. ANAJUA KABISA KUFUKIZA SIO DAWA YA CORONA ILA ALIKAA KIMYA ILI KULINDA UGALI WAKE. SASA HIVI MAGU KAFA ANASEMA UKWELI WOOOOTE!.
 
Malezi, makuzi kutoka kwa wazazi wao na jamii yenye ustaarabu bila kusahau exposure imesaidia kuwajenga hawa, mimi na wewe tuwajenge vyema watoto wetu.
Ila Maria sarungi anaujinga mwingi...nimemdharau sana kwenye ishu ya BET. Kumbe anaakili ndogo sana tofauti na nilivyokua namfikiria
 
Huyo binti karume ni mwanasheria mkongwe hivyo usishangae upeo wake kuwa juu
 

Umenena vyema! Wachache watakuelewa.
Hata mm huwa siwaelewi
 
Kinachotufanya sisi tuonekane hatujui Haki n family Backbround tulizotokea incase of education base za hii nchi yetu Kwa vizazi vyetu na sisi tusipokua makini Na watoto na vitukuu mpaka vilembwe na vilembwekeze vitakua Havijui Masuala ya Haki.
 
Wote wale waliguswa maslahi yao!

Kama unabisha jiulize hizo haki zimeanza kukosekana baada ya Magu kutwaa madaraka?


Ulimboka aling'olewa menu mpaka karibu ya kufa

Mwandishi wa chanel tena alisambaratishwa na bomu kuke iringa

Dr. Mvungi aliukiwa kinyama tukaambiwa ni majambazi ila ishu kubwa ilikuwa ni katiba

Mkutano wa chadema kule arusha watu 5 walikufa kwa bomu.

Yote hayo yalifanyika awamu ya nne, lakini kwa kuwa hao wanaharakati wakikuwa kwenye chain ya ulaji hawakuwayaona ila Magu alipo kata zile chain tu ndio wakawa wanaharakati.
 
Watoto wa wakubwa...


Fanya vile wewe uone..

Hakuna usawa hapa...huyo Fatma kwa huku znz..angekuwa hana ngao..angeshafukuzwa...arudi kwao Malawi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…