Tzmzalendo og
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 337
- 136
Mfano mzuri ni Mhe Lowassa. Alipokuwa CCM kuna waliompenda na kuna waliomkosoa kwamba ni fisadi mkubwa sanaa. Akabadili jezi ikawa vice versa.
Mfano wa pili ni Nyarandu vivo hvo amebasili jezi wafuasi wamebadir mioyo yao na waiomchukia pia wengi wameanza kumpenda.
Hadi huwa nafikiria TZ siasa tunachukulia ushabiki kama wa mpira (Morison akiwa Yanga na alipohamia Simba).
Naomba wenye maon au mawazo zaid wayatoe na vithibitisho (Tz mzalendo og)