T Tzmzalendo og JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 337 Reaction score 136 May 27, 2021 #1 Mfano mzuri ni Mhe Lowassa. Alipokuwa CCM kuna waliompenda na kuna waliomkosoa kwamba ni fisadi mkubwa sanaa. Akabadili jezi ikawa vice versa. Mfano wa pili ni Nyarandu vivo hvo amebasili jezi wafuasi wamebadir mioyo yao na waiomchukia pia wengi wameanza kumpenda. Hadi huwa nafikiria TZ siasa tunachukulia ushabiki kama wa mpira (Morison akiwa Yanga na alipohamia Simba). Naomba wenye maon au mawazo zaid wayatoe na vithibitisho (Tz mzalendo og)
Mfano mzuri ni Mhe Lowassa. Alipokuwa CCM kuna waliompenda na kuna waliomkosoa kwamba ni fisadi mkubwa sanaa. Akabadili jezi ikawa vice versa. Mfano wa pili ni Nyarandu vivo hvo amebasili jezi wafuasi wamebadir mioyo yao na waiomchukia pia wengi wameanza kumpenda. Hadi huwa nafikiria TZ siasa tunachukulia ushabiki kama wa mpira (Morison akiwa Yanga na alipohamia Simba). Naomba wenye maon au mawazo zaid wayatoe na vithibitisho (Tz mzalendo og)
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 May 27, 2021 #2 Katika maisha ni vema kusimama katika kile unachoamini. Ukikumbwa na upepo wa wadlshangiliaji huna safari ndefu
Katika maisha ni vema kusimama katika kile unachoamini. Ukikumbwa na upepo wa wadlshangiliaji huna safari ndefu