Hero
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 3,932
- 2,839
Nimeshtuka sana baada ya mama yetu SSH kufanya maamuzi kwa kufuata mkumbo wa ulimwenguni wa kuchanja watu chanjo ya korona!
Seriously, kwa kuwa dunia inachanja bila kujali madhara wanayopata kwa chanjo ya majaribio, na ukweli kwamba haikingi kihivyo, mnatutoa kwenye reli salama tuliyoachiwa na Mh Dr JPM kweli na kutuingizia mavitu ya kipuuzi kuvuruga utu wetu!?
Taifa hili lilikuwa salama chini ya baba yetu Magufuli (may his precious soul rest in eternal peace and power amen 🙏)! Mama kaachiwa nchi anaanza kutuondoa kwenye reli kusikiliza wanaompa vijimisaada hii ikiwa kinyume kabisa na msimamo wa kitaifa uliowekwa na baba!
Hii maana yake nini....👇
Hosea 2 inaonya kitu...
"Wanaume, Ami na ndugu zenu wanawake , Ruhama.
2 Msihini mama yenu, msihini; kwa maana yeye si mke wangu, wala mimi si mume wake; na ayawekee mbali mambo ya uasherati wake yasiwe mbele ya uso wake, na mambo ya uzinzi wake yasiwe kati ya maziwa yake;
3 nisije nikamvua nguo zake akawa uchi, nikamweka katika hali aliyokuwa nayo siku ya kuzaliwa kwake, na kumfanya kama jangwa, na kumweka kama nchi kame, na kumfisha kwa kiu;
4 naam, sitawaonea rehema watoto wake; kwa maana ni watoto wa uzinzi.
5 Maana mama yao amezini; yeye aliyewachukua mimba ametenda mambo ya aibu; maana alisema, Nitafuatana na wapenzi wangu, wanipao chakula changu na maji yangu, sufu yangu na kitani yangu, mafuta yangu na vileo vyangu."....