Hivi kipi kinaanza kati ya kuweka kiduku na ujinga?

Kiduku ni madhara ya ujinga, maana kiduku ni ujinga umeamua kijidhihirisha..

Ujinga kwanza.
 
Mbona kuna mmoja ananyoa vizuri tu na sio kijana?[emoji23]
 
Ujinga ni kufuatilia waliweka kiduku kwa matakwa yao mwenye na kwenye vichwa vyao wenyewe.
 
Bila ujinga huwezi kuweka kiduku. Na ukishaweka kiduku ujinga unakolea zaidi. So, trend iko namna huu.
Ujinga > Kiduku > Ujinga Pro.
 
Ukitaka vita na hawo viduku mwambie anyoe hizo nywele utajuwa ujuwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…