Hivi kitaalamu ipo vipi kuhusu madalali kuchukua pesa ya mwezi mmoja ya kodi

Hivi kitaalamu ipo vipi kuhusu madalali kuchukua pesa ya mwezi mmoja ya kodi

Kama hutaki kutumia huduma ya dalali, tafuta mwenyewe nyumba. Hujakatazwa.
 
Nimeshapangishwa nyumba nyingi sana na madalali, nilikuwa naishia kuwalipa 20 au 30 tu. Hawezi kunishtaki popote
 
Back
Top Bottom