Mkalukungone mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 862 Reaction score 1,755 May 21, 2024 #1 Hivi kitaalamu ipo vipi kuhusu madalali kuchukua pesa ya mwezi mmoja ya kodi
Smith Rowe JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 4,319 Reaction score 9,003 May 21, 2024 #2 Ni ushenzi tuu
Bemendazole JF-Expert Member Joined Nov 14, 2020 Posts 2,649 Reaction score 6,680 May 21, 2024 #3 Kama hutaki kutumia huduma ya dalali, tafuta mwenyewe nyumba. Hujakatazwa.
RRONDO JF-Expert Member Joined Jan 3, 2010 Posts 55,727 Reaction score 123,094 May 21, 2024 #4 Mkalukungone mwamba said: Hivi kitaalamu ipo vipi kuhusu madalali kuchukua pesa ya mwezi mmoja ya kodi Click to expand... Hayo ni makubaliano yenu. Unaweza kukataa kabla hujampa hio kazi au usimtumie kabisa.
Mkalukungone mwamba said: Hivi kitaalamu ipo vipi kuhusu madalali kuchukua pesa ya mwezi mmoja ya kodi Click to expand... Hayo ni makubaliano yenu. Unaweza kukataa kabla hujampa hio kazi au usimtumie kabisa.
TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 9,748 Reaction score 26,238 May 21, 2024 #5 Nimeshapangishwa nyumba nyingi sana na madalali, nilikuwa naishia kuwalipa 20 au 30 tu. Hawezi kunishtaki popote
Nimeshapangishwa nyumba nyingi sana na madalali, nilikuwa naishia kuwalipa 20 au 30 tu. Hawezi kunishtaki popote