Nkolandoto JF-Expert Member Joined Sep 18, 2016 Posts 4,102 Reaction score 4,028 Oct 10, 2021 #21 Mauya siyo Yule wa zamani Kwa sasa ametulia Sana movement zake ni za kimpira kabisa nadhani kucheza na mukoko kumemfanya ajifunze vitu vzr sana Yuko vzr sana kimbinu Tatizo lake Tu ni Kasi ya uwanjani
Mauya siyo Yule wa zamani Kwa sasa ametulia Sana movement zake ni za kimpira kabisa nadhani kucheza na mukoko kumemfanya ajifunze vitu vzr sana Yuko vzr sana kimbinu Tatizo lake Tu ni Kasi ya uwanjani
Gucci gang JF-Expert Member Joined Jan 7, 2018 Posts 2,682 Reaction score 5,277 Oct 10, 2021 #22 Ahmad Abdurahman said: Mbona hujaliongelea lile shati pale golini linalopigiwa shuti za mbali kuishia kudaka upepo? Click to expand... We jamaaa shati ni nani?
Ahmad Abdurahman said: Mbona hujaliongelea lile shati pale golini linalopigiwa shuti za mbali kuishia kudaka upepo? Click to expand... We jamaaa shati ni nani?