Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,102
- 4,028
Mauya siyo Yule wa zamani Kwa sasa ametulia Sana movement zake ni za kimpira kabisa nadhani kucheza na mukoko kumemfanya ajifunze vitu vzr sana
Yuko vzr sana kimbinu
Tatizo lake Tu ni Kasi ya uwanjani
Yuko vzr sana kimbinu
Tatizo lake Tu ni Kasi ya uwanjani