Hivi KKKT na Serikali hii Ndoa yenu imeanza lini

Hivi KKKT na Serikali hii Ndoa yenu imeanza lini

Son of Israel from Africa

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
2,006
Reaction score
2,963
Nawasalimu kwa Jina Bwana Wetu Yesu Kristo .
Hiyo ni salamu kuu ya Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania.

Nawauliza VIONGOZI WA KKKT hasa Malasusa na Serikali ndoa yenu imeanza lini ???

Tenaaa au toka Malasusa Aingie ndio mkafunga ndoa kabisaa .

Mimi siungi mkono kabisa .

Na nawaambia swala mdaa tuu.

Je hata uovu siku hizi akaa aaaa

Askofu Shoo popote ulipo uliliheshimisha Kanisa letuu
 
Makanisa yetu na siasa za nchi ni vituko vitupu, mpaka mwamposa safari hii anapewa shavu japo ana waumini wachache nchini. Yapo madhehebu hayajawahi kupewa shavu na serikali ingawa nayo yana waumini si haba
 
Siku nilipoona tu Malasusa amerejea na cheo kipya cha kuwa Mkuu wa hilo Kanisa nchini, nilijua tayari ccm imeshapata tawi lake lingine la kudumu kama lile la bakwata.
 
Back
Top Bottom