Makanisa yetu na siasa za nchi ni vituko vitupu, mpaka mwamposa safari hii anapewa shavu japo ana waumini wachache nchini. Yapo madhehebu hayajawahi kupewa shavu na serikali ingawa nayo yana waumini si haba
Siku nilipoona tu Malasusa amerejea na cheo kipya cha kuwa Mkuu wa hilo Kanisa nchini, nilijua tayari ccm imeshapata tawi lake lingine la kudumu kama lile la bakwata.