MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Kizazi hiki kinaboa sana ,usione ajabu kamtu kanaweza hata kuwa katoto kako ka kumi badala kaaeme shikamoo mzee eti kananiambia heshima yako mzee
Heshma yako bi mkubwa😁Kizazi hiki kinaboa sana ,usione ajabu kamtu kanaweza hata kuwa katoto kako ka kumi badala kaaeme shikamoo mzee eti kananiambia heshima yako mzee
Yaani inaboa mwanzo nilidhani labda kwakuwa napenda kushindaa na vijana watukutu wa mtaa ili mambo yangu mengine yawe rahisi ila sasa kuna mzee ambaye kwangu sasa namuita pia kikongwe ,naye jana ananimabia yaani shikamoo sasa hivi hapa mtaani imekuwa ngumu sana ni mwendo wa heshima yako mzee 😀Heshma yako bi mkubwa😁
Nahisi hawa ni watoto wa 2000, message za namna hii hutakiwi kuzijibu kabisa.Mtu anakusalimia " Mamb"
Anakujibu "Pow"
Anakuuliza "Mzm"
Anaendelea "xaxa uk wp?
"Xipajui"
"Xamahan"
"Dad xamahan nmekuj kwak xikuon uk wapi?
Halafu Kuna hawa Sasa wanaoona aeiou ni mchosho
"Dd smhn jn nlkj kwk nkkt umtk.ksh ntkj tn ntkkt?
Wana shida gani kwenye ubongo wao hawa?
Ni vitu gani hivi mkwe😁mara sungunyo ,kiwavi jeshi na tanganyika jeki yaani ni tafrani ila ukiweka mada zenye akili wanapwaya masikini watoto wetu.
Sasa hapo serikali itafanya nini?Serikali ikiangalie tena hiki kizazi japo wengine hatukupigwa viboko udogoni ila madogo ya sasa inabidi yasinyimwe viboko yanakuwa mansondocha kabisa
Serikali Ijenge Magereza Mazuri kama HotelNi vitu gani hivi mkwe😁
Sasa hapo serikali itafanya nini?
Ndio wataacha kuandika hivyo?Serikali Ijenge Magereza Mazuri kama Hotel
Murphy anasema "Anything that can go wrong, will go wrong"Ndio wataacha kuandika hivyo?
Naje mzy. 😅😂Hilo jambo ni kulipigia kelele, ukiona kijana wako anakutumia meseji za hivyo mwelekeze haraka aache huo ujinga
Kuna baadhi ya watu wana wapenzi wanaoandika hivyo pia, wakemeeni waache huo ujinga
Still confused! Can’t connect with the topic lolMurphy anasema "Anything that can go wrong, will go wrong"
Sijui maana yake nini
That’s the Confusion effect in action 😄.Still confused! Can’t connect with the topic lol
Siyo mbaya katika mawasiliano ya mtu mmoja kwenda kwa mwingine mmoja"Dd smhn jn nlkj kwk nkkt umtk.ksh ntkj tn ntkkt?