Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Ndiomaana shule nilikuwa sifeli kwasabu sikuwa na material mengi kichwani☺️That’s the Confusion effect in action 😄.
too much info, zero clarity.
Ndiomaana shule nilikuwa sifeli kwasabu sikuwa na material mengi kichwani☺️That’s the Confusion effect in action 😄.
too much info, zero clarity.
Aisee Kumbe shokapu ni 'shock absorber 'Na sisi vijana wa zamani ambao Side mirrors tuliziita saiti mila, Four wheel drive tuliziita fowili, shock absorber tuliziita shokapu, nk. Tunaruhusiwa pia kuchangia hapa?
Sio kwamba hukuwa na material… ulikuwa na clarity.Ndiomaana shule nilikuwa sifeli kwasabu sikuwa na material mengi kichwani☺️
Mkwe hapo juu naogopa nisije kuvunjia heshima bure ni style za mtaa huko kunako 6×6Ni vitu gani hivi mkwe😁
Sasa hapo serikali itafanya nini?
Mimi nilikuwa natembea na concept aisee😁Sio kwamba hukuwa na material… ulikuwa na clarity.
Wengine walikuwa wanabeba Confusion effect kichwani 😄
Kweli nimezeeka kuna style mpya na sizijui🤣🤸🏽♀️Mkwe hapo juu naogopa nisije kuvunjia heshima bure ni style za mtaa huko kunako 6×6
Mahi Una gubu jomoonii 😹😹Halafu kuna hawa wasioweka herufi za mwanzo😃
Nipo apa kwa dada takuja badae..
Mamby my..
Namby my..
Apana mi mzima..
Halafu kuna wale wasiojua pa kuweka H na M
Naenda Mahabara
Nipo Mwimbili
Ni Mwasibu wa pale(mhasibu)
Halafu kuna wale wasiosoma
Hongera mdogo wangu kwa kumaliza Fofoho(form four)
Anaumwa Yuteai(UTI)
Wakanipiga Nyutro sound(Ultra sound).
😁😁😁 hawasumbui wale mmoja walishamuwashiaga moto humu kipindi ndo anajoin JFUmeukimbia uzi eeh? Nenda kule ukapambane na mishoga ukapopolewe na watu wenye biashara zao mjini lol 🤣
Babu mbona msg za kina bibi wa afu mbili unajitahidi kusoma na kuwaelewa? 😹😹Hilo jambo ni kulipigia kelele, ukiona kijana wako anakutumia meseji za hivyo mwelekeze haraka aache huo ujinga
Kuna baadhi ya watu wana wapenzi wanaoandika hivyo pia, wakemeeni waache huo ujinga
Asante! Umenipa mbinu ya kuwapa fundishoMimi huwaga nawajibu hovyo mara mbili yao kwa mfano hapo nd ningekuwa ww ninge mwandikia stefhisthtbd najua angesema sijakuelewa na mimi ningemjibu sijakuelewa ulivyo andika
Ndiyo hawa hawa mkwe yaani tafrani tupuStill confused! Can’t connect with the topic lol
Huyo sasa wa kuchapa viboko.Ndo watoto wetu hawa tufanyaje bora hio kuna hawa wanamix capital na small letters...
Mtu anakuandia.... 'KakA sHkAMoO ViPI mNAENdElEaJe......
Mpaka umalize kusoma sms kichwa kinauma
Zoote hizo ni matoleo mapya ya mwaka 2026 mkwe kwahiyo kwa wahenga bila kushinda nao ni ngumu kuzijua .Kweli nimezeeka kuna style mpya na sizijui🤣🤸🏽♀️
😹😹😹 Nimecheka mpk machozi..!!2nakwend na fxhion Xixta 😁
Weee😂😂😂😁😁😁 hawasumbui wale mmoja walishamuwashiaga moto humu kipindi ndo anajoin JF
Fala wee 😹😹Naje mzy. 😅😂
Mkwe kwahiyo hawataki kujisumbua kabisa😃Ndiyo hawa hawa mkwe yaani tafrani tupu