Hivi kuandika hivi Kwa kizazi hiki ndio swaga ama Nini?

Hivi kuandika hivi Kwa kizazi hiki ndio swaga ama Nini?

Halafu kuna hawa wasioweka herufi za mwanzo😃

Nipo apa kwa dada takuja badae..
Mamby my..
Namby my..
Apana mi mzima..

Halafu kuna wale wasiojua pa kuweka H na M
Naenda Mahabara
Nipo Mwimbili
Ni Mwasibu wa pale(mhasibu)

Halafu kuna wale wasiosoma
Hongera mdogo wangu kwa kumaliza Fofoho(form four)
Anaumwa Yuteai(UTI)
Wakanipiga Nyutro sound(Ultra sound).
Hao ndio tatizonkabisa yaan kuna wakat unakasirika had unaishia kucheka

fofo ho ...form four

Mwimbili..muhimbili

Yutiai...uti
 
2naandk kw yyt ha2jal
Mkiwa mnawasiliana na Wazee wa mwaka 47 mjitahidi kuandika kawaida;

Mkiandika hivyo mnaweza kutupandisha Presha mjue 😜

Umeadimika sana Mjukuu, umefanya Mimi na Bibi yako tukumisi isivyo kawaida 😉
 
Mi mbn np kla cku humu ndan 😁
2napshna tyuuu itakuwa. Salam nyng kwa bb
Huenda tunapisha tu kama ulivyosema, si unajua Wazee bila miwani hatuwezi kusoma JF 🤭

Jana niliongea na bibi yako, amesema ana salamu zako za Pasaka

Fanya kunicheki nikupasie 🤭😎
 
Huenda tunapisha tu kama ulivyosema, si unajua Wazee bila miwani hatuwezi kusoma JF 🤭

Jana niliongea na bibi yako, amesema ana salamu zako za Pasaka

Fanya kunicheki nikupasie 🤭😎
Msalimie pia, sawa nitakucheck mida
 
Dah, nimecheka sana, yani Kuna mijitu inaharibu lugha, halafu BAKITA wapo tu wanabarizi
 
Back
Top Bottom