min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Mbona haina shidaCheck screenshot hizo huyo ni mama mtu mzima kabisa anatuma meseji kama hizo
Mbona haina shidaCheck screenshot hizo huyo ni mama mtu mzima kabisa anatuma meseji kama hizo
Kidogo ana afadhali.
Kiswahili tunajua ila tinafanya makusudiMbaya sana hii, kiswahili hatujui, kilugha hatujui, kiingereza hatujui.
Amini nakuambia watu hatujui kiswahili, sio kuongea wala kuandika, fuatilia!!!Kiswahili tunajua ila tinafanya makusudi
Kama hamna shida mtu mzima kuandika hivyo hii thread ni vagueMbona haina shida
Ni mwendo wa shkaoo 😂Kizazi cha kisasa hiki hata ugalagaze wameshachagua njia zao tangu tumboni!🙌🏾
Hutaki kusalimia kama uko uvunguni😁Ni mwendo wa shkaoo 😂
Mama alitumia muda kunifanya nizoee kutamka shikamoo nzima nzima
Km up karb nenda ach kujvuta vuta
Hiyo line ya mwisho ndo kubwa kuliko. Kubababake sina mbavu!😂🤣😂Halafu kuna hawa wasioweka herufi za mwanzo😃
Nipo apa kwa dada takuja badae..
Mamby my..
Namby my..
Apana mi mzima..
Halafu kuna wale wasiojua pa kuweka H na M
Naenda Mahabara
Nipo Mwimbili
Ni Mwasibu wa pale(mhasibu)
Halafu kuna wale wasiosoma
Hongera mdogo wangu kwa kumaliza Fofoho(form four)
Anaumwa Yuteai(UTI)
Wakanipiga Nyutro sound(Ultra sound).
Wewe itakua ni wa Chuga I guess .. kule tunasema “ shkaoo mma”Ni mwendo wa shkaoo 😂
Mama alitumia muda kunifanya nizoee kutamka shikamoo nzima nzima
Kwanini Upande hasiraWahivi hua napiga block haraka sana, maana naweza anaweza sababisha nikavunja sim kwa hasira
🤣🤣 ni balaaHiyo line ya mwisho ndo kubwa kuliko. Kubababake sina mbavu!😂🤣😂