Hivi kuandika hivi Kwa kizazi hiki ndio swaga ama Nini?

Hivi kuandika hivi Kwa kizazi hiki ndio swaga ama Nini?

Huu ni uandishi wa kihuni, kishenzi na kukosa adabu! Huwezi kumuandikia mzazi wako hivyo, utakuwa unamvunjia heshima. Mi nikiandikiwa hivi napandwa na hasira, naona nakosewa adabu. Wahuni kwa wahuni ndio huandikiana hivyo
Wenyewe wanaona ni fashion
Kila kitu kuiga
Mwanafunzi wa chuo kikuu anaandika hivyo
 
Naona tuwaachie tu madogo code zao za mawasiliano. Hata sisi kipindi tupo kwenye age yao tulikua na makandokando yetu.

Muhimu hayo mawasiliano yao yaishie uko uko kwa wenyewe kwa wenyewe. Sio kuwasiliana hivyo na mzazi au mkubwa wake
 
😂 Hadi wakina mama
Nkajua vijana tu
Screenshot_20260330-163129.jpg
Screenshot_20260330-163300.jpg

Huyu ni mama mtu mzima kabisa ana watoto wakubwa
 
Naona tuwaachie tu madogo code zao za mawasiliano. Hata sisi kipindi tupo kwenye age yao tulikua na makandokando yetu.

Muhimu hayo mawasiliano yao yaishie uko uko kwa wenyewe kwa wenyewe. Sio kuwasiliana hivyo na mzazi au mkubwa wake
Check screenshot hizo huyo ni mama mtu mzima kabisa anatuma meseji kama hizo
 
Back
Top Bottom