Hivi kuandika hivi Kwa kizazi hiki ndio swaga ama Nini?

Heshma yako bi mkubwa😁
Yaani inaboa mwanzo nilidhani labda kwakuwa napenda kushindaa na vijana watukutu wa mtaa ili mambo yangu mengine yawe rahisi ila sasa kuna mzee ambaye kwangu sasa namuita pia kikongwe ,naye jana ananimabia yaani shikamoo sasa hivi hapa mtaani imekuwa ngumu sana ni mwendo wa heshima yako mzee 😀

Hapo bado hatujaongelea uwezo mdogo wa kufikili kwa hawa ndugu zetu watoto wetu .
Yaani tuvijana ukikaa na twenyewe na tukakuzoeq ni asubuhi ,mchana na jioni wanaomgelea mademu ,kubeti na mechi .
Kwenye mademu mara wataje style z8ngine unabaki kuangalia tu mara sungunyo ,kiwavi jeshi na tanganyika jeki yaani ni tafrani ila ukiweka mada zenye akili wanapwaya masikini watoto wetu.

Serikali ikiangalie tena hiki kizazi japo wengine hatukupigwa viboko udogoni ila madogo ya sasa inabidi yasinyimwe viboko yanakuwa mansondocha kabisa
 
Nahisi hawa ni watoto wa 2000, message za namna hii hutakiwi kuzijibu kabisa.
 
"Dd smhn jn nlkj kwk nkkt umtk.ksh ntkj tn ntkkt?
Siyo mbaya katika mawasiliano ya mtu mmoja kwenda kwa mwingine mmoja

Lakini mitandaoni FB YOUTUBE X n. K utaona hata kuandikia ulimwengu waTanzania ktk mitandao wanao shida na kazi sana kuandika TanzaniaTZ badala yake wanaandika TZ. Wenzetu hawaandiki ZW, ZM, MW, SA wala KE wanaandika Zimbabwe Zambia Malawi South Africa na Kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…