Hivi kuandika hivi Kwa kizazi hiki ndio swaga ama Nini?

Hao ndio tatizonkabisa yaan kuna wakat unakasirika had unaishia kucheka

fofo ho ...form four

Mwimbili..muhimbili

Yutiai...uti
 
2naandk kw yyt ha2jal
Mkiwa mnawasiliana na Wazee wa mwaka 47 mjitahidi kuandika kawaida;

Mkiandika hivyo mnaweza kutupandisha Presha mjue ๐Ÿ˜œ

Umeadimika sana Mjukuu, umefanya Mimi na Bibi yako tukumisi isivyo kawaida ๐Ÿ˜‰
 
Mkiwa mnawasiliana na Wazee wa mwaka 47 mjitahidi kuandika kawaida;

Mkiandika hivyo mnaweza kutupandisha Presha mjue ๐Ÿ˜œ

Umeadimika sana Mjukuu, umefanya Mimi na Bibi yako tukumisi isivyo kawaida ๐Ÿ˜‰
Mi mbn np kla cku humu ndan ๐Ÿ˜
2napshna tyuuu itakuwa. Salam nyng kwa bb
 
Mi mbn np kla cku humu ndan ๐Ÿ˜
2napshna tyuuu itakuwa. Salam nyng kwa bb
Huenda tunapisha tu kama ulivyosema, si unajua Wazee bila miwani hatuwezi kusoma JF ๐Ÿคญ

Jana niliongea na bibi yako, amesema ana salamu zako za Pasaka

Fanya kunicheki nikupasie ๐Ÿคญ๐Ÿ˜Ž
 
Huenda tunapisha tu kama ulivyosema, si unajua Wazee bila miwani hatuwezi kusoma JF ๐Ÿคญ

Jana niliongea na bibi yako, amesema ana salamu zako za Pasaka

Fanya kunicheki nikupasie ๐Ÿคญ๐Ÿ˜Ž
Msalimie pia, sawa nitakucheck mida
 
Dah, nimecheka sana, yani Kuna mijitu inaharibu lugha, halafu BAKITA wapo tu wanabarizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ