Hivi kuanzia lini na wapi ngozi ya mwanaume Kwa mwanaume inakuwa na hisia/ msisimko hasa wa kingono?

Hivi kuanzia lini na wapi ngozi ya mwanaume Kwa mwanaume inakuwa na hisia/ msisimko hasa wa kingono?

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
12,463
Reaction score
27,556
Kuna vitu vinashangaza sana na sijui ni wasomi kuwa wengi au hata sijui tu.

Sisi tumezaliwa na kukua tunalala pamoja tena pasina hata kujua kuna kulawitiana nk

Tukaenda shule maghetoni Bado tutakutana na watu Si ndg zetu tunaungana wawili Hadi watatu geto Moja tunalala na maisha ya naenda hakuna hata siku imetokea nikapata hisia kisa nimegusana ngozi na mwanaume mwenzangu haipo!


Zaidi ya yote hata sasa Niko kambini kwenye kilimo na ufugaji Nina wafanyakazi 3 mmoja nalala naye kitanda kimoja na wawili hivohivio Wala hakuna hizo hisia.

Inakuwaje watoto tuwatenge namna hii?


Mbona tumekuwa na fikra mbovu sana?

Kwangu Mimi naona ni ajabu kabisa kuwatenga watoto kisa tu watadukuana na kutoana marinda kwangu Sina mtazamo huo

Upuuzi wa Hali ya juu huu Eti watoto watengamishwe Kwa sababu hiyo!!
Screenshot_20260822-065431_1.jpg
 
Hamna vitu kama hivyo, ni malezi mabovu ndio yanaleta hayo majina

Au labda ngozi za siku hizi ziko sensitive sana
 
nimeandika kisha nimefuta
 
Utandawazi umekuja kuharibu fikra za watu na kuanza kuwaza vitu ambavyo mwanzo ilikua hata haviwaziki akilini,
Hii vita ni ngumu sana,inaonekana kuna nguvu kubwa sana inatumika kusambaza huu ujinga ili uonekane ni jambo la kawaida,
Yani siku hizi mpaka kuna taasisi ambazo zinayatetea haya Mapapai.
 
Nina ushuhuda wa hiki kinachosemwa, kuna dogo mmoja wa secondary alikuwa anamharibu mdogo wake wa primary.

Wakuu dunia imeisha, vitabu vya dini vilikuwa sahihi kutabiri nyakati hizi kuwa mbaya zaidi. We fikiria tu mtu anamfanya fumanizi kisha wanamlawiti mwanaume mwenzao, ukijiuliza hizo hisia zinatoka wapi unakosa majibu.
 
Jamii ya sasa imeingiliwa na hofu kubwa sana kutokana na mambo ya mitandao na picha za ngono. Wazazi wengi wamekuwa paranoid.

Wanadhani ukimfanyia mtoto kitu fulani basi automatic ataharibika. Hii ni fikra potofu sana kwa sababu binadamu haongozwi na mazingira pekee.
 
Nina ushuhuda wa hiki kinachosemwa, kuna dogo mmoja wa secondary alikuwa anamharibu mdogo wake wa primary.

Wakuu dunia imeisha, vitabu vya dini vilikuwa sahihi kutabiri nyakati hizi kuwa mbaya zaidi. We fikiria tu mtu anamfanya fumanizi kisha wanamlawiti mwanaume mwenzao, ukijiuliza hizo hisia zinatoka wapi unakosa majibu.
Wazazi walichukua hatua gani?
 
Inategemea watoto wanaishi wapi.
Mnawaleaje.
Wanaangalia nini kwenye simu na TV?

Lakini pia inategemea na background ya wazazi.

Amin usiamini Embe halianguki mbali na mti wake.

Kama kuna mambo uliyatenda sirini kaa ukijua watoto au moja ya watoto wako watatayarithi na kuyaleta hadharani.

Kama ulikuwa unafira wanawake, au unafanya ufiraji kwa wanaume wenzako kwa siri. Ni jambo la kawaida watoto au moja ya watoto wako kuwa namna hiyo.
 
Back
Top Bottom