Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Wazazi walichukua hatua gani?Nina ushuhuda wa hiki kinachosemwa, kuna dogo mmoja wa secondary alikuwa anamharibu mdogo wake wa primary.
Wakuu dunia imeisha, vitabu vya dini vilikuwa sahihi kutabiri nyakati hizi kuwa mbaya zaidi. We fikiria tu mtu anamfanya fumanizi kisha wanamlawiti mwanaume mwenzao, ukijiuliza hizo hisia zinatoka wapi unakosa majibu.
Duu..Wewe ni dume...?Nilikua nalala na kaka zangu watatu tunabanana na hizo hisia hazikuwepo.
JikeDuu..Wewe ni dume...?
Kumbe! nakuja PMJike
Kwahiyo ulikuwa unalala kwa kubanana na kaka zako kitanda kimoja cha 4x6Jike
Mimi na wengine tuliolelewa kwenye familia ya uwezo wa chini hili ni jambo la kawaida.Kwahiyo ulikuwa unalala kwa kubanana na kaka zako kitanda kimoja cha 4x6
Ili ukamtumfueKumbe! nakuja PM