Mkuu,hali ni mbaya sanaa. Haya mambo unaweza kudhani hayapo hadi uyashuhudie yamemkuta fulani. Sasahivi kesi za watoto wa kike kubakwa zimekuwa chache sana,za watoto wa kiume kulawitiwa ndo zimejaa. Katika kesi 100 za ukatili wa kingono kwa watoto utakuta za ubakaji zipo 5 halafu za ulawiti zipo 95. Wanaolawiti watoto ni watu wa karibu mfano kaka,rafiki,baba,mjomba au bamdogo.
Ungepata nafasi ya kupewa takwimu za haya matukio ndo ungeelewa anachokisema mtoa mada. Sema yeye amekosea kutumia neno hisia kuelezea ukatili.