Kumbuka kuna mchakato mgumu sana wa kufuzu kucheza fainali hizo za World Cup so usihesabie only the ultimate challenge, hesabu the entire campaign.Bila ubishi wote tunajua kuwa Leonel Messi ndiyo mchezaji bora kutokea tokea dunia iumbwe. Ila kumekuwa na haters wachache wakisema hawezi kuwa bora mpaka abebe kombe la dunia, kweli? Kombe la dunia linachezwa kwa muda wa mwezi mmoja kila baada ya miaka minne. Timu hadi kuchukua kombe inakuwa imecheza mechi saba. Je mashindano mafupi hivyo yanatosha kupima ubora wa mchezaji au ni uhater tu?
Robaldinho alichimzidi messi ni umri pekee kapitwa kila kitu kuanzia balllon d or hadi goals assist na kila kitu gaucho hawez kupita msitu hata akienda kuroga sumbawangaNipe Ubora wa Messi uliomzidi Ronaldinho......
Ziko sababu zaidi ya mia ila nianze na hii kuwa Messi katwaa uchezaji bora wa Dunia mara 5Nipe Ubora wa Messi uliomzidi Ronaldinho......
Kutwaa uchezaji bora inategema na washindani wako kwa kipindi husika. Kwa mtazamo wako,CR7 (mchezaji bora mara 4) na Ronaldinho nani bora muda wote?Ziko sababu zaidi ya mia ila nianze na hii kuwa Messi katwaa uchezaji bora wa Dunia mara 5
[emoji1] [emoji1] [emoji1] sasa ushajipa majibu nafikiri Ushajijibu swali lakoKutwaa uchezaji bora inategema na washindani wako kwa kipindi husika. Kwa mtazamo wako,CR7 (mchezaji bora mara 4) na Ronaldinho nani bora muda wote?
Aaaaaah dem boyMessi mchezaji bora wa muda wote wa Barcelona sio dunia,wa dunia wapo wenyewe wanajulikana they don't need to be introduced unless if hater too
Magoli 565?? Wakati pele ana magoli 1350!!!! Get real messi sio all time labda ni best kwenye karne hii ila kma wwe ni mfuatiliaje wa classic football utagundua hata di stefano tu hafikiwi na messiHata Messi angetwaa kombe la Dunia bado wasingeishiwa sababu
King Messi anawaumiza sana roho