Hivi kuchukua kombe la dunia ni kipimo cha uchezaji bora?

Hivi kuchukua kombe la dunia ni kipimo cha uchezaji bora?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Bila ubishi wote tunajua kuwa Leonel Messi ndiyo mchezaji bora kutokea tokea dunia iumbwe. Ila kumekuwa na haters wachache wakisema hawezi kuwa bora mpaka abebe kombe la dunia, kweli? Kombe la dunia linachezwa kwa muda wa mwezi mmoja kila baada ya miaka minne. Timu hadi kuchukua kombe inakuwa imecheza mechi saba. Je mashindano mafupi hivyo yanatosha kupima ubora wa mchezaji au ni uhater tu?
 
Kumbuka kuna mchakato mgumu sana wa kufuzu kucheza fainali hizo za World Cup so usihesabie only the ultimate challenge, hesabu the entire campaign.
 
d1183930ce541960086de56f36a7f958.jpg
Hata Messi angetwaa kombe la Dunia bado wasingeishiwa sababu

King Messi anawaumiza sana roho
 
Kutwaa uchezaji bora inategema na washindani wako kwa kipindi husika. Kwa mtazamo wako,CR7 (mchezaji bora mara 4) na Ronaldinho nani bora muda wote?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] sasa ushajipa majibu nafikiri Ushajijibu swali lako
 
d1183930ce541960086de56f36a7f958.jpg
Hata Messi angetwaa kombe la Dunia bado wasingeishiwa sababu

King Messi anawaumiza sana roho
Magoli 565?? Wakati pele ana magoli 1350!!!! Get real messi sio all time labda ni best kwenye karne hii ila kma wwe ni mfuatiliaje wa classic football utagundua hata di stefano tu hafikiwi na messi
 
Back
Top Bottom