Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Ndio maana unapaswa kula mbuusus ukipata hela mwanawane achana na kujengaEti wakuu?
Maana naona kila mtu yupo mbio kupanga matofali.
Au sisi wengine ndo kuna vitu hatuvioni?
Tafta helaEti wakuu?
Maana naona kila mtu yupo mbio kupanga matofali.
Au sisi wengine ndo kuna vitu hatuvioni?
Usiishie hapo tu kwenye kupanga matofali.Eti wakuu?
Maana naona kila mtu yupo mbio kupanga matofali.
Au sisi wengine ndo kuna vitu hatuvioni?
Kwa nini iwe kujenga tu na si kusoma,kufanya kazi,kuoa,kuzaa etc?Eti wakuu?
Maana naona kila mtu yupo mbio kupanga matofali.
Au sisi wengine ndo kuna vitu hatuvioni?
sisi ni nani adi tukupinge kiongoziNdio maana unapaswa kula mbuusus ukipata hela mwanawane achana na kujenga
sisi ni nani adi tukupinge kiongoziNdio maana unapaswa kula mbuusus ukipata hela mwanawane achana na kujenga
Maishaaaa....tuishi tu Braza Kede.Eti wakuu?
Maana naona kila mtu yupo mbio kupanga matofali.
Au sisi wengine ndo kuna vitu hatuvioni?
angalia kiongozi, usijekuwa mraibu wa ujenzi,ukimaliza nyumba moja unaona haitoshiKama hauwezi kujenga je hela ya kukaa Apartment sehemu nzuri ambayo itakupa utulivu wa mwili na akili unayo Kama hauna we jenga kibanda
Una akili.sisi ni nani adi tukupinge kiongozi
Hvi siku hizi hawafundishi tena kwa kutumia vitabu vya Shaaban Robert? Kwa sababu mawazo finyu kama yako yalikuwepo miaka 100 iliyopita na yalishapatiwa majibu. Anyways, huku ni kuonyesha bado kuna binadamu wengine wana akili za kinyama, zinazowaza ''mimi'' na ''leo''. Zile akili za kusema tujenge barabara za nini wakati unyayo wa mtu hauzidi futi moja. Kwa kifupi tafuta kitabu kinachoitwa Kusadikika usome.Eti wakuu?
Maana naona kila mtu yupo mbio kupanga matofali.
Au sisi wengine ndo kuna vitu hatuvioni?
Sehemu zote zenye umaskini uliokithiri watu hujiliwaza kwa maneno kama haya.Usiishie hapo tu kwenye kupanga matofali.
1. Unakuwa na nguo nyingi lakini unazikwa kwa Sanda tu ambayo hujawahi ivaa hata siku moja wakati wa uhai wako
2. Unakuwa na magari lakini unazikwa kwenye jeneza la mbao ambalo halitumii mafuta hata kidogo
3. etc