Hivi kujenga mbona kama hakuna maana? - unajenga bangaloo lakini unazikwa kwenye kichumba cha mita 1*2.5

Hivi kujenga mbona kama hakuna maana? - unajenga bangaloo lakini unazikwa kwenye kichumba cha mita 1*2.5

Bro kwa hali uliyonayo inaonekana unawaonea wivu hadi waliolala kaburini kwamba wanafaidi🤣🤣 relax buddy
 
🤣😂🤣😂
Ukijenga nyumba kabla hujaoa. Utainjoy hiyo nyumba kama miaka 15 tu.

Maana watoto wataenda boarding, watakuwa hawapo muda mwingi na nyie.

Watoto wataanzisha maisha Yao kuoa na kuolewa utabaki na house boy, house girl na mke.

Na siku hizi hamna watoto wa ndugu wengi wanaishi kwa watu as shule za kata na bodaboda zimesaidia sana.

Na watoto wako watazaa Kila mmoja mtoto mmoja au wawili so hutakuwa na wajukuu wa kukaa nao sana ni likizo TU au sikukuu wakigawana kwako na ukweni.

So ni kweli nyumba kubwa ni mzigo mzito kwa maisha ya sasa ivi na yajayo.

Nyumba ndogo hata mkiwa wenyewe hamsikii upweke yaani wewe na mkeo kama mtakuwa hamjaachana.
 
Una akili.
Mzabzab may have may flaws but being wrong concerning mbususu and women is not one of them!
kiongozi asante kwa hii miongozo unayotupa vijana wako. ubarikiwe sana
🤝🤝
 
Unaweza kukuta mtoa mada ameshajenga getto lake la sita kwa sita afu anakuja kuteka mafala humu, anyway mwnyw sion haja ya kujenga njiani n bora hy pesa upewe siku ukifa ili ukajenge huko uendapo
 
Back
Top Bottom