🤣😂🤣😂
Ukijenga nyumba kabla hujaoa. Utainjoy hiyo nyumba kama miaka 15 tu.
Maana watoto wataenda boarding, watakuwa hawapo muda mwingi na nyie.
Watoto wataanzisha maisha Yao kuoa na kuolewa utabaki na house boy, house girl na mke.
Na siku hizi hamna watoto wa ndugu wengi wanaishi kwa watu as shule za kata na bodaboda zimesaidia sana.
Na watoto wako watazaa Kila mmoja mtoto mmoja au wawili so hutakuwa na wajukuu wa kukaa nao sana ni likizo TU au sikukuu wakigawana kwako na ukweni.
So ni kweli nyumba kubwa ni mzigo mzito kwa maisha ya sasa ivi na yajayo.
Nyumba ndogo hata mkiwa wenyewe hamsikii upweke yaani wewe na mkeo kama mtakuwa hamjaachana.