Hivi kula wali maharage ni kujishusha? Huyu Lemutuz sijui yupoje?

Status
Not open for further replies.


- hahahaha hapa ni ofisni kwangu i hope na wewe unayo kama mimi yaani ofisi yako na unajiajiri kama mimi ok na ukuhitaji ajira karibu sana nipigie tu chukua namba yangu insta ok hahahahahaha

le Mutuz
 
Le mutuz umri wako na vitu unavyofanya haviendani, wazee wa umri wako wanalea wajukuu sasa hivi, wewe upo busy kupiga selfie hotelini na visichana. unatia aibuu kama bashite
 
- HAHAHAHA lakini mbona kama unajisema mwenyewe una maana huna tako au what? Sasa unaendaje Chooni mkuu sana? hahahahaha tafuta matusi ambayo hayakuhusu next time maana kusema uliyonayo ni kujitukana hahahahaha

le Mutuz
Babako atakuwa anajuta kukuzaa

In God we trust
 
Lemutuz kadata maana alitegemea kupata uteuzi wa Ngosha lkn katupwa

In God we trust


- Sasa nikiteuliwa kampuni yangu nitamuachia nani mkuu? hahahahaha kwani majuu nilikuwa nimeteuliwa na nani? kumbe mnatafuta kuteuliwa humu? hahahahahaha

le Mutuz
 
Kubwa jinga yaani bichwa kuubwa akili kama piriton

In God we trust


- yaap yap hahahahaha ndio maana ninaweza kuwa na mambo ya maendeleo kama haya kwa sababu ya AKILI KUBWAZZZ hahahahaha ukitaka ajira karibu sana

le Mutuz
 
Baada ya mosha kakufukuza sasa hivi umebakia kumbwelambwela

In God we trust

- hahahahahaha alikufukuza nini? Yaani amenifukuza halafu nikampeleka RC last week pale pale inawezekana kweli? hahahahahaha pole sana naona huna la maana

le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…