William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Hizi za uso mlizompa leo hasira zake zote ataenda wamalizia followers wake leo huko insta mana huwaga anawapelekapeleka kma wanawe..ole wako umpinge utakula bloku la hataree..
Huko insta ndo kunakufaa huku tunakupa za uso tu..
Makonda kamuharibu sana huyu mpuuz yuko tyri hta amkane babake mzazi kwa ajili ya Makonda huyu baba!kipindi dadake mwele anatumbuliwa alikua kimbelembele kutetea serikali ili kujikomba cha kushangaza mpk leo hana cheo zaid ya kua secretary wa makonda!shame!
- hahahaha hapa ni ofisni kwangu i hope na wewe unayo kama mimi yaani ofisi yako na unajiajiri kama mimi ok na ukuhitaji ajira karibu sana nipigie tu chukua namba yangu insta ok hahahahahaha
le Mutuz