Super Tuesday
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 636
- 727
yupo tayari kutunga hadi uongo. siku moja alidai eti Daudi alianza kumiliki BMW tangu anasoma chuo.Akili za huyu jamaa ni zile za kula Bure kutokana na kulamba viatu vya wakubwa,angalia watoto wa Malecela wote kama wanajikomba komba kama huyu jamaa,asamehewe tu ndio ufahamu wake!
Sent using Jamii Forums mobile app