Hivi kula wali maharage ni kujishusha? Huyu Lemutuz sijui yupoje?

Hivi kula wali maharage ni kujishusha? Huyu Lemutuz sijui yupoje?

Status
Not open for further replies.
Baada ya 2015 We jamaa bila ya kumsifia Sifia makonda ungelikua ushakufa siku nyingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app

- Kumbe na wewe bila kutukana wanaume usiowajua kwenye mitandao kwa majina bandia ungeshakufa siku nyingi au? hahahahahahahha naomba nikukumbushe wewe na wenzako majiha kama wewe ninamiliki kam;puni ya media so mimi ni kama mwanasheria hope umenielewa juha wewe hahahahahahaha

le Mutuz
 
yupo tayari kutunga hadi uongo. siku moja alidai eti Daudi alianza kumiliki BMW tangu anasoma chuo.
upload_2017-8-15_14-31-11.jpeg

- I know hata hii picha ni uongo wewe unayemtumia majina ya bandia ndiye msema kweli au?

le Mutuz
 
View attachment 566788

- hahahahahaha ukijikomba unapata wabebe kama huyu na wewe jikombe basi ule wabebezzz hahahahahaha pole sana

le Mutuz
Tangu utoto wangu Baba yangu alinifunza kutafuta vyangu sio kujikomba komba,pole sana kwa kizazi chako na bora ulivyositisha uzazi kwa wale wale uliowaacha kwa mwanamke maana na utu uzima huo ungetuzalia fisadi kiwembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaona mantiki ya kashfa na maneno haya yasiyo ya msingi.. Kama mtu humjui personally unapataje guts za kumzungumzia. Hujui assets zake hujui acc yake inasemaje maisha yake humlipii even airtime! Tuache zungumzia watu na tuheshimu utu wa mtu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
- Kumbe na wewe bila kutukana wanaume usiowajua kwenye mitandao kwa majina bandia ungeshakufa siku nyingi au? hahahahahahahha naomba nikukumbushe wewe na wenzako majiha kama wewe ninamiliki kam;puni ya media so mimi ni kama mwanasheria hope umenielewa **** wewe hahahahahahaha

le Mutuz
Eti mwanasheria hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mzee Malecela naye anajiproud kuwa ana kijana wake anaitwa le Mutuz?? Shame shame shame.
 
huyu jamaa naona hakuwahi kula maharage, wakati wengine tangu utotoni, sekondari tena yale yenye funza na ambayo hata yapikwe vipi hayaivi ng'o unakula kama unakula karanga, na tumepiga nayo shuleni, yeye kula ya mama ntilie ndio anaona kujishusha, huyu vipi, hakuwahi kusoma boarding za tz miaka ile
 
Inategemea umetokea familia ya aina gani.

Wenye background ya mboga Saba maharage Ni chakula cha hadhi duni mno.
 
Tangu utoto wangu Baba yangu alinifunza kutafuta vyangu sio kujikomba komba,pole sana kwa kizazi chako na bora ulivyositisha uzazi kwa wale wale uliowaacha kwa mwanamke maana na utu uzima huo ungetuzalia fisadi kiwembe

Sent using Jamii Forums mobile app

- hahahahaha baba yako alikufundisha kurukia wanaume usiowajua kwenye mitandao lakini akakufundisha kutojikomba? hahahahahaha

le Mutuz
 
Sijaona mantiki ya kashfa na maneno haya yasiyo ya msingi.. Kama mtu humjui personally unapataje guts za kumzungumzia. Hujui assets zake hujui acc yake inasemaje maisha yake humlipii even airtime! Tuache zungumzia watu na tuheshimu utu wa mtu..

Sent using Jamii Forums mobile app

- Mkuu worry not mimi hawanisumbui hawa walianza miaka mingi iliyopita toka nikiwa majuu maneno yao ndio haya haya na mimi kama kawaida nafanya mambo yangu nasonga mbele wao wapo hapa hapa kutukana wanaume wasiowajua kwa kutumia majina ya bandia, ila huwa wananisaidia sana maana wananiongezea sana umaarufu ndio maana nawapenda sana worry out boss

le Mutuz
 
Hivi mzee Malecela naye anajiproud kuwa ana kijana wake anaitwa le Mutuz?? Shame shame shame.

- Sema baba yako anajiproud kwa kuwa na mtoto kama wewe anayetumia majina ya bandia kutukana wanaume kwenye mitandao? eti is that right? hahahahahaa

le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom