Hivi kula wali maharage ni kujishusha? Huyu Lemutuz sijui yupoje?

Status
Not open for further replies.
laiti huyo Lemutuz baba yake asingekua na ulwa basi leo hii ingekua hata smartphone hamiliki.
 
Le mutuz anakwambia usijibane sana eti kwasababu ya kujenga hhhhh anakwambia batazzz kujenga yeye bado hhhhh... mzee wa miaka 59 hana hata nyumba anaishi kwenye apatment ya kupangisha hhhhhhhhhhhhhhhhh akina dab wenzake wanajenga yeye anajenga tumbo tu hhhhhhhhhhhhhhhhhh

Sent using Jamii Forums mobile app
 

-

- hahahaha pole sana mkuu ila maisha yangu ndio haya yanaendelea hayawezi kusimamishwa na binadam mjinga kama wewe bingwa wa kutukana kwa majina ya bandia pole sana hahahahaa ona mbebezzz huyo unaweza hiyo?


le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…