Hahahahahah kwahoyo le mutuz anahisi ubwabwa alokula Billgate ni sawa na wakwake!!!?
Yani Billgate aje afie bongo kwa Kula ubwabwa kitaani tuu kisa anajishusha.
Hiyo Event ilipangwa na chakula kilipikwa kwa protocol za kimataifa chini ya hisani ya ulinzi na usalama wa watu wa marekani wakishirikiana na serikali ya bongo na walinzi binafsi wa The BG the Don.
Tukio hilo siyo kujishusha Bali kushare humanity na watz wa kawaida.
Ndio mana BG alifrahia picha zaidi kuliko Kula.kama Lemutuz anavyoonekana kanogewaaa...
But kujishusha ni kitu kizur...Lemutuz hajakosea!!
Sent using
Jamii Forums mobile app