Hivi kula wali maharage ni kujishusha? Huyu Lemutuz sijui yupoje?

Hivi kula wali maharage ni kujishusha? Huyu Lemutuz sijui yupoje?

Status
Not open for further replies.
kama.kula maharage ni kujishusha na kula MLENDA kutakuwa nini?
Mrenda ni moja ya mboga za ukweli,huwezi sema mrenda sio kisa maharage,kitu cha mrenda ndo kimetukuza,hasa naupenda sana ule unaopikwa na maza,ukiwekewa na karanga... hata uje ugali mkubwa kiasi gani,utapita tu mdomoni
 
View attachment 566683

- Leo Super breakfast at the Hilton Hotel Masaki, hahahahahaha maisha yanaendelea U know wewe baki namahasira hahahahahaha

le Mutuz
Pumbavu wewe kazi kutegemea wanaume wenzio tu mjini hapa..offer za florenzo hizo unajiachiaaa mtoto wa kiume yani hili lijitu jamani yani hapo kapewa offer basi maneno meeengiii..Hivi florenzo kwanini unaji associate na jitu kama hili
 
Huyu mzee miaka zaid ya 59 lakin mambo yake ni ujinga mtupu , Mzee malecela bora bao la huyu angekojoa tu nje sio kwa utahira huu alio nao
Bora alilizaa tu, maana kama lile bao angepigia pull, au ange withdraw wakati anapizi, yawezekana pangetokea tetemeko kubwa sana au yeye mwenyewe mzee Jonh angepata eiza magonjwa hatarishi kwa afya yake... maana hili toto lake ni shida sana hapa duniani... zee lakini kutwa zima linashindana na vitoto like Lulu Michael... Hapo linajenga sjui online tv, hadi leo haijaanza tu kufanya kazi.... hili zee nouma sana na baada ya hiyo tv kubuma litakuja na purojekiti nyingine
 
Hizo project unadhan zakwake basi ye anawekwa yu pale mbelembele kama liboya flani hivi..wanaume wenziwe ndio wanamueka mjini
 
Hahahahahah kwahoyo le mutuz anahisi ubwabwa alokula Billgate ni sawa na wakwake!!!?

Yani Billgate aje afie bongo kwa Kula ubwabwa kitaani tuu kisa anajishusha.

Hiyo Event ilipangwa na chakula kilipikwa kwa protocol za kimataifa chini ya hisani ya ulinzi na usalama wa watu wa marekani wakishirikiana na serikali ya bongo na walinzi binafsi wa The BG the Don.

Tukio hilo siyo kujishusha Bali kushare humanity na watz wa kawaida.

Ndio mana BG alifrahia picha zaidi kuliko Kula.kama Lemutuz anavyoonekana kanogewaaa...

But kujishusha ni kitu kizur...Lemutuz hajakosea!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kula wali maharage ni kujishusha, huyu lemutuz sijui yupoje. Kwa hiyo na yeye ni tajiri na hakustahili kula maharage ama.

Wakati Lemutuz analazimisha kupata followers, bill gates yeye ana 30k followers.
afe7b0d8dd86ad25078a9fac6c889584.jpg

Halikawii kusema Bill Gates ndo kaliiga lenyewe....... Hapo linatamani lingepata walau dakika moja yakuongea naye, lingeomba alipe offer Moven Pick Hotel,lipige selufie na misosi mingi, wakati aliyelipa bill kakandamiza wali harage
 
Jamaa mwili mkubwa akili zake kama sisimizi. Mi nahisigi huyu jamaa ana matatizo ya akili si bure huyu apatiwe msaada.
 
Hahahahahah kwahoyo le mutuz anahisi ubwabwa alokula Billgate ni sawa na wakwake!!!?

Yani Billgate aje afie bongo kwa Kula ubwabwa kitaani tuu kisa anajishusha.

Hiyo Event ilipangwa na chakula kilipikwa kwa protocol za kimataifa chini ya hisani ya ulinzi na usalama wa watu wa marekani wakishirikiana na serikali ya bongo na walinzi binafsi wa The BG the Don.

Tukio hilo siyo kujishusha Bali kushare humanity na watz wa kawaida.

Ndio mana BG alifrahia picha zaidi kuliko Kula.kama Lemutuz anavyoonekana kanogewaaa...

But kujishusha ni kitu kizur...Lemutuz hajakosea!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Le Mutuzi hajui,yeye anajua kupiga wali harage ndo kujishusha, ukute hapo Bill Gate hata hajala Zaidi yakupiga kijiko kimoja tu, na huo msosi sio wa mama Ntilie wa bongoland ukute huo wali umepanda ndege toka huko alikotoka BG
 
View attachment 566024

- jana hiyo wakati wewe unalalamika huku sisis tunakula batazzzz na watoto wazuri, wewe shikilia miaka tu ya wanaume usiowajua huku JF hahahahahahaha

le Mutuz

Na huo mwili kama puto mtoto mzuri kama huyo according to you... utaishia kupiga nae picha na kumshika kalio na ziwa basi vingine achia wachapa kazi bhana
 
Hizo project unadhan zakwake basi ye anawekwa yu pale mbelembele kama liboya flani hivi..wanaume wenziwe ndio wanamueka mjini

Hili jamaa yaani linatia aibu sana, ndo tatxo ya kuchezea ujana, unakuja zalilika uzeeni...hili zee nouma sana... purojekiti zote za wanaume... lenyewe kutwa nzima kujiweka mbele mbele kama bao la kwanza
 
upload_2017-8-15_13-52-7.jpeg

- Hivi ni baadhi ya vifaa tunavyovifunga kwenye our new Studio, so relax boss soon utatupata sana online, hahahahaha eti unajua bei ya hivi vifaa?

le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom