Hivi kula wali maharage ni kujishusha? Huyu Lemutuz sijui yupoje?

Hivi kula wali maharage ni kujishusha? Huyu Lemutuz sijui yupoje?

Status
Not open for further replies.
View attachment 566022

- Batann jana na le mbebezzz Mwarabu Rangi ya Mtume Super Mtindizzzzz hahahahahaha le kura maisha, vijana tafuteni wabebezz wazuri mle maisha ama sivyo mtajaza hii mitandao na kulia lia mpaka mnakufwa mazafantazzz hahahahahaha U know

le Mutuz
Hili dubwasha new york ulikua umeenda kutibiwa mental illness au veepe mbona unazidi kuharibikiwa psychologically au unavosaidiwa na mwanaume mwenzako wale watoto unakufa inside ur burning deep down
 
View attachment 566029

- Relaxing at home jana, sasa wewe mtoto wa kiume unahangaika kujaza bando kufuatilia maisha ya wanaume huku JF mbona huzuni sana kwa wazazi wako, unadhani hawa wabebez wanaweza kukubali kichwa nazi kama chako mwanaume mzima unahangaika na wanaume huku JF? hahahahahahahhaha

le Mutuz
Is that the servent quaters where the nanny goes to change or a mans shoe rack?
 






- Nairobi Intercontinental U know too much fun in my life as oppose na kelele zenu huku hahahahaha

le Mutuz
If this is ur idea of fun u have a looong way. To free ur self from slavery .....watu wamepigania uwe huru wewe unashangilia kua slave ....
 
Huyu mzee miaka zaid ya 59 lakin mambo yake ni ujinga mtupu , Mzee malecela bora bao la huyu angekojoa tu nje sio kwa utahira huu alio nao

[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Nafikiri huyu mtu akili yake bado kama ya teenager mtu mzima huwezi kuwa na akili za kijinga namna hii.
 
Kama umeshakula wali wa nazi na maharage ya nazi yaliopikwa na wale wenye msemo 'waja leo waondoka leo' ndio utajua kwa nini watoto wanapenda mlo huu.
 
Hili dubwasha new york ulikua umeenda kutibiwa mental illness au veepe mbona unazidi kuharibikiwa psychologically au unavosaidiwa na mwanaume mwenzako wale watoto unakufa inside ur burning deep down
upload_2017-8-15_12-50-12.jpeg


- hii ni jana at the Double Tree Hilton Hotel Presidential Suite, hahahahaha wewe piga kelele mpaka ufe sisi tunaendelea na batazzzz na kazi

le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom